Johari: Nipate mume yeyote, kigezo ni awe anapumua

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
43,313
Reaction score
109,381
"Mwanamke yeyote ndoto yake kubwa kuwa na Mume, katika maombi yangu yote hilo naliomba sana lakini siwezi kumpangia Mungu atayajibu lini".

"Mkisikia natangaza harusi mjue maombi yamejibu, nipate mwanaume yeyote ili mradi TU awe anapumua" - Muigizaji Johari

IMG_20250422_181631.jpg

Chanzo: EATV
 
View attachment 3312402
Chanzo: EATV
hapo kwenye kupumua ndo fumbo atakayelifumbua anachuka jiko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom