Jogoo kaniaibisha mbele ya mchepuko

FundiNgoma

Senior Member
Joined
Dec 26, 2019
Posts
138
Reaction score
283
Wakuu mpaka nacheka yaani, nilipata ka mchepuko siku sio nyingi sasa katika harakati za kunipa tunda tukakubaliana leo.

Sasa bwana tukaenda zetu lodge maajabu mashine imegoma kabisa kusimama
daah hata sielewi mpaka najicheka yani najiuliza naumwa au maombi ya wife maana wife anasali sana afu namkubali sana.

Wakuu sielewi yani. Yote kwa yote sitorudia tena Kuchepuka ee Mungu nisaidie


 
Shukuru Mungu. Leo ndiyo ilikuwa siku yako ya kupata UKIMWI umpelekee na mkeo wote muanze kufakamia ma ARVs mfubae kama ngozi ya magotini. Leo Mungu Amekuokoa. Ukifika home ingia bedroom, piga sala ya nguvu, kemea hilo pepo na wife akija kuangalia kinachoendelea kamata halafu mpelekee moto wa uhakika. Tena lia kabisa leo ukiweza. Pambafu
 
Acha kumsaliti mkeo , jiulize angekuwa anakusaliti alafu ugundue maumivu hayo hata yeye anaumia.

Rudi nyumbani ukatulie na mkeo , utabeba magonjwa bure , mpende mkeo, narudia kusema mpende mkeo
Samahani mkuu....
Hivi, mwanaume anae chepuka ndio inatafsiriwa kwamba hampendi mkewe..??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…