Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,719
- 22,309
Kwa mujibu wa BBC hii imetokea Ufilipino. Askari polisi huyo ambaye sasa ni marehemu alikwenda kuzuia pambano haramu la kugombanisha majogoo, mmoja wa majogoo hao alikasirishwa na kitendo hicho na kuamua kumvaa askari huyo na kumuua!