Jogoo amuua askari polisi!

Kwa mujibu wa BBC hii imetokea Ufilipino. Askari polisi huyo ambaye sasa ni marehemu alikwenda kuzuia pambano haramu la kugombanisha majogoo, mmoja wa majogoo hao alikasirishwa na kitendo hicho na kuamua kumvaa askari huyo na kumuua!

Sio wewe bali ni pombe uliyokunywa harusini jana.
 
Kwa mujibu wa BBC hii imetokea Ufilipino. Askari polisi huyo ambaye sasa ni marehemu alikwenda kuzuia pambano haramu la kugombanisha majogoo, mmoja wa majogoo hao alikasirishwa na kitendo hicho na kuamua kumvaa askari huyo na kumuua!
Ameyataka..!!!
 
Mchezo wa kupinanisha majogoo ni kamari inahusu pesa, askari alipowavamia watu wote walikimbia kuogopa kukamatwa hivyo walimuacha huyo askari na majogoo wapiganaji.
Aisee huko tukipeleka panya road wa Mtogole tunaua jeshi lote!

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Mbona sikuelewi, unamjibu nani? Au unajifunza kuitumia JF! Ulichokiandika hakiendani na kilichopo kwenye reply yako.

Hivi, huwa inasemwa mbu kaua mtu au mtu kafa kwa malaria??!!-- jifunze kwa mfano huo.
 
Watu mnazo simu za bei kali kazi yenu kuchati tu! Yaani mmeshindwa kuingia kwenye mtandao na kuipata BBC ambako mngeisoma habari husika! Yangu awali nilisema kwa mujibu wa BBC nikitegemea mtaitafuta kumbe mnaogopa kiingereza, mbona ipo BBC Kiswahili.
 
kweli siku ikifika imefika,yaani mimi huyu wa kuuwawa na kuku kweli
 
Back
Top Bottom