Joel Misesemo mwendo umeumaliza lakini...

Dunia ni hatari
 
Kuna dada mmoja mtumishi wa kanisa flani na muimba kwaya ya kanisa ni rafiki mkubwa wa marehemu alichoniambia kuhusu jamaa na maisha yake ya upande wa pili mi naamini kajimaliza mwenyewe. Watu na suti zao wana siri kubwa mjinin humu.
Alikwambiaje?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
 
Inakuwaje mtu anaamini akipata pesa na mali atakuwa na furaha maishani. Ila akipata still bado anahisi bado furaha haijatimia maishani mwake .. [emoji848]au ndio tuseme kila kitu ni ubatili Chini ya jua kwa mujibu wa Suleiman [emoji848]
 

Tunaendelea kuchimba kwa undani zaidi ili kujua mbivu na mbichi.

Mpaka Sasa 90% ya machimbo tayari yameshachimbwa, imebaki kama 10% hivi ili kazi yote imalizike kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…