Joel Misesemo mwendo umeumaliza lakini...

Taarifa nyingine zinasema gari lake limetambuliwa kwenye Parking ya eneo la Jengo hilo , chizi anawezaje kuendesha gari na aliingiaje kwenye Jengo hilo usiku wote huo ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Yeeeeewss magufuli hayupo soo na hii scenario nayo mna i connect na ofisi ya raisi nani vile ??
 
Kwa wasiojua ni kuwa madawa mengi ya psychiatric huwa yana side effects za ajabu sana...nyingine hukupelekea kuongeza suicidal thoughts na suicidal ideation.

Anti-depressants na Anti-anxiety drugs zinapaswa kutumiwa kwa uangalifu mno, maana badala ya kukusaidia zinaweza kuzidisha ukubwa wa tatizo. Kwa waliowahi kutumia hayo madawa wanaweza kutoa ushuhuda jinsi gani yanavyopelekea kuongezeka kwa mawazo ya kujiua
 
Jeshi la Polisi limepata gari la Marehemu aina ya Suzuki rangi ya silver lenye namba za usajili T142 DRM lililokuwa limeegeshwa kwenye maegesho ya magari katika eneo hilo na sasa limehifadhiwa Kituo cha Polisi Oysterbay.
Ninachojiuliza hilo gari wamepataje au wametumia CCTV zilizoonyesha akijirusha makusudi?
 
Jeshi la Polisi limepata gari la Marehemu aina ya Suzuki rangi ya silver lenye namba za usajili T142 DRM lililokuwa limeegeshwa kwenye maegesho ya magari katika eneo hilo na sasa limehifadhiwa Kituo cha Polisi Oysterbay.
Gari la huyu wala halijapata ajali wamelihifadhi polisi Ila lile gari la naibu waziri wa TAMISEMI alilopata nalo ajali wala hawakulihifadhi polisi
 
Taarifa ya Polisi imesema camera za jengo hilo zimemuonesha akijirusha kwa makusudi kutoka ghorofa ya saba kupitia dirishani na kufariki
Na kwanini Police department kwa haraka sana wame draw conclusion kwamba ni maksudi?, wakati angekua wa chama kile,haraka Sana, uchunguzi unaendelea,kubaini chanzo cha kifo [emoji137]
 
Taasisi za Tanzania nyingi zinaongozwa na watu ambao ni wavivu wakufikiri ndio maana hutoa majibu haraka na mepesi matatizo yanapotokea.
Ajali ikitokea Polisi wanatoa taarifa juu ya vifo bila uchunguzi wa kina! Mtu akifariki kutoka juu ya ghorofa Kwanini wakimbilie kuwa kajirusha na sio karushwa? Je haiwezekani kuwa alisukumwa?
Ukienda kwenye wizara ya fedha nako mambo ni yale yale kutaka urahisi wa kutatua mambo magumu; Mwigulu hana njia nyingine yeyote ya kuongeza mapato ila kuongeza tozo kwani hizo ni rahisi kukusanya!
Majibu mepesi kwa uvivu wa kufikiri!
 
Na kwanini Police department kwa haraka sana wame draw conclusion kwamba ni maksudi?, wakati angekua wa chama kile,haraka Sana, uchunguzi unaendelea,kubaini chanzo cha kifo [emoji137]
Marehemu hana haki
 

Mrs Van unaikumbuka ile comment yako katika uzi wa princess ariana , isije ikawa na huyu marehemu pia alikuwa …
 
Hii dunia hii, kama kawaida mtu akishaondoka tu, maneno mlima.
Sasa wanasema kwamba alikua na matatizo ya akili....[emoji848][emoji848][emoji848]
Hakuna msiba usio na hadithi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mganga njaa keshaanzisha uzi, watu wanapenda sana umaarufu kunuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…