ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,548
- 89,982
Mnaongelea China.Mkuu hayo yote yalitamkwa ndio yanayoendelea China. Uhalisia ndio huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umefuatilia vyemaNia ya Marekani haikuwa kuigeuza China nchi ya kidikteta Bali kuwafanya wazidi kubadilika na kuwa nchi ya kidemokrasia iliyostaarabika...
Kule Kwa macho madogo mambo imeharibika 😂😂Biden ni msemaji wa China au ni wewe umegomq kutumia ubongo wako vizuri?
Viwanda vingi vya mabeberu vipo china sababu ya cheap labor so hata ukienda nunua mzigo china basi Kuna faida pia unampatia beberu.Sijawahi sikia naenda USA kuchukua mzigo
Utasikia naenda china Dubai kuchukua mizigo
Pyeee Biden kumbukumbu huna
USA hawaendagi machoko ,kule hakuna Mitumba [emoji23][emoji23]
Una ushahidi wa kitaalamu juu iko alichosema Biden?? Wewe ni mchumi?Mkuu hayo yote yalitamkwa ndio yanayoendelea China. Uhalisia ndio huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Who is USA ??? Mpaka afundishe watu demokrasia??Nia ya Marekani haikuwa kuigeuza China nchi ya kidikteta Bali kuwafanya wazidi kubadilika na kuwa nchi ya kidemokrasia iliyostaarabika.
Amekuja Dikteta xi na tamaa zake amebadilisha uelekeo wote na kuivuruga China yote.
Wachina wengi hawampendi ni vile basi tu hawana cha kufanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa lini US alikuwa mzalishaji wa yeboyebo na malonyalonya haya mnayoenda kuagiza China.Sijawahi sikia naenda USA kuchukua mzigo
Utasikia naenda china Dubai kuchukua mizigo
Pyeee Biden kumbukumbu huna
China imetangaza kupata deflation mwezi huu nadhani ilikuwa kama 0.3%. Na ajira hazipatikani.Huu ndio ukweli ila wale wafuasi wake Watapinga.
Idadi ya Watu wanaozaliwa China imepungua kuliko vifo.
Idadi ya Wazee inazidi kuongezeka
Ukuaji wa Uchumi wake Umepungua sana.
Shida ya Kisiasa za ndani zimenza,sera ya zero covid iliwaahinda Hadi watu wakaandamana dhidi ya Utawala.
Kampuni zake za nyumba zimeanza kupata shida na Baadhi mbioni kufilisika eg Garden
Gharama za Uwekezaji wa viwandani zimeanza kuongezeka.
Mwisho China imeanza Utapeli wa Mali na ukoloni mamboleoa Kwa Nchi za Kiafrika Kwa njia ya Mikopo nk.
My Take
China haiaminiki ,siku yaja Yuan yake itaporomoka sana.
Lakin pia nenda kasome pia ripoti ya nusu mwaka ya mwaka huu kuhusu uchumi ya USA na China then njoo hapa useme ,Je!! USA ananafuu ya kumcheka China???Unatia kinyaa,..
Unapochangia mada kama huna uelewa na hilo jambo ni Bora ukae kimya upate ufahamu,
Kuna makampuni kibao ya uchumi yanayofanya uchunguzi kwaajili ya wateja wao ambao ni makampuni ya kimataifa na kila wakifanya uchunguzi wa kiuchumi wanatangàza matokeo yao.
Achilia hilo, IMF na china yentewe imekiri kuzorota kwa uchumi wao, halafu ww unakuja kupinga kitu ambacho huna ujuzi navyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazungumzia Wachina wa Tibet na Xinjiang bila shaka.....Ila hao huenda ni sehemu ndogo tu ya walio tayari kufanya hilo.Kuna baadhi ya wachina ni kwa vile hawana silaha lakini ukiwapa silaha wako radhi kupambana na ÇCP na jeshi lake, jambo hili Xi Jinping bado hajalifikiria....
Hiyo mivutano ya kimipaka imeanza kitambo sana Ila tukubali tu kwa sasa China pia ni 'regional power' na hao mahasimu hasa India na Japan wanahofia sana hilo...Bado ana ugomvi na Vietnam, Indonesia, India, Japan Taiwan , at the same time unataka uvutie uwekezaji uchumi wako ukue vitu non sense kabisa.
Hizi takwimu za Xi kutopendwa na Wachina wengi ni nadharia tu zisizoweza kuthibitishwa, Ccp walimpa Urasi kwa kishindo.Amekuja Dikteta xi na tamaa zake amebadilisha uelekeo wote na kuivuruga China yote.
Wachina wengi hawampendi ni vile basi tu hawana cha kufanya
Hako kazee nako ni kajinga sana mbona hakaongelei nchi kanayo iongoza ambapo maelfu ya mabenki yamefirisika.Research źinafanywa na nani?
Why China inetangaza kuwa na unemployment rate ya 21.3% kwa 16 to 24 years old people na inasemekana inazidi kukuwa? Na inasemekana ni zaidi ya 46% ukujumuisha watu wa rika zote
Kwann wana tatizo la real estate boom? Hii inaashiria nn? Na kwann wao wamenyewe wanakiri sekta yao ya real estate inashida?
Unaweza kunieleza sekta ya real estate China inachangia GDP kwa asilimia ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app