Jobless experience

kazi za dukani ni ngumu sana.
Ww jamaa unanichekesha sana ๐Ÿ˜‚
Unasema duka n kazi ngumu afu hapo hapo unataka watoto, kwahy watoto ndo wanaweza kazi ngumu?

Ww n muuaji, hiyo hiyo kazi unayompa mtoto wa watu Huwez kumpa mwanao.
 
Kuna mjinga mwenzenu ni mwanaume ana miaka 37 kazalisha watoto huko nje halafu kawasomba karudi nao nyumbani kwao yeye na watoto wake wanaishi humo kwa mama ake.

Na kazi hataki.

Akili mavi za vijana wajinga wanaoelekea uzeeni bila mipango imara.
 
Hutokuwa na la kunifanya mana hadi ww ntakuiba au ntakuacha na maumivu ambayo hutowez hata kufungua macho ๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Daah Yaani Una Jeuri Hadi kwa anaetaka Kukutoa kwenye chama cha Majobless
 
Kuna mjinga mwenzenu ni mwanaume ana miaka 37 kazalisha watoto huko nje halafu kawasomba karudi nao nyumbani kwao yeye na watoto wake wanaishi humo kwa mama ake.

Na kazi hataki.

Akili mavi za vijana wajinga wanaoelekea uzeeni bila mipango imara.
Mkuu Kwani kuludisha mpira kwa kipa ni kinyume cha sheria?
 
"funua ka-lio wahuni wakukadirie"

~Somadian Nunez
Hamna Mwanaume mwenye afya timamu ya akili alafu amwambie mwanaume mwenzie afunue kalio๐Ÿ˜€
Au na Wewe ni Wa Dar maana ndo mbanga zenu,Kanda ya ziwa sio mikato yetu hiyo
 
fungua ofisi yako tu mana nitakupeleka pabaya
Mkuu Ni vyema kutoa ajira kwa vijana kama una nafasi ya kufanya hivyo,pia kigezo chako cha umri si kibaya ila nakukumbusha tu Wizi ni Tabia ya Mtu haijalishi ana miaka chini 18 au zaidi ya 18

Kwahiyo Chini ya miaka 18 si Guarantee ya kua muaminifu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ