Job Ndugai Umetukatisha Tamaa

bila kumng'unya maneno hawa jamaa ni choka mbaya na hivi sasa hawajiamini kabisa wamepoteza DIRA kila wanalo fanya/tenda hajiamini kama ni sahihi au la ole wenu mlio wachagua hali itakuwa ngumu zaidi hadi 2015
 
Yaani huyu Jamaa kila nikimuona kwenye screen huwa natamani kumnyofoa Bungeni nimpeleke akajaribu kilimo
Hafai hata kidogo..hizi sura zinazotabasamu tabasamu kama mheshimiwa JK huwa haziko serious siku zote
 
Kila kukicha kazi yao ni kuibuka na dili ya 'UMEME WA DHARURA' tuuuuuuuuuuuu, naona arobaine yao ndio hiyo hapo 2015 bila ubishi. Wananchi tunakusudia KUFYEKA nchi nzima kusiwe na misitu ya mafisadi tena kutumwa kule Mjengoni Domz.

CCM kukosa wabunge kwa asilimia 83 % kote nchini hapo 2015.

Aisee nawapa pole sana wananchi wa MKOKA, CHALINZE,KIBAIGWA & KONGWA ujumla,

Kanda ya ziwa tumeshawapiga chini, hao jamaa si watu bali ni genge la majizi yanayokaa mjengoni na kusuka misheni town yao tuuu.

Maeneo hayo yote nayafahamu vizuri, ni kweli kiangazi ni tabu sana.

Jambo la msingi achaneni na CC-M hawafai.
 
Yaani huyu Jamaa kila nikimuona kwenye screen huwa natamani kumnyofoa Bungeni nimpeleke akajaribu kilimo
Hafai hata kidogo..hizi sura zinazotabasamu tabasamu kama mheshimiwa JK huwa haziko serious siku zote
Naona umekomaa kiaamuzi na kifikra.
Signature yacho kwa kiasi kikubwa inaujumbe wa ukomavu.
Hongera firstlady1.
We can not have a better future if we don't plan, believe in and impliment towards accomplishing our destiny.
 
Tatizo la sisi wa TZ tume baki na "hangover" ya kuwa kisiwa cha amani wakati viongozi wetu wana tafuna raslimali na tuna waangalia tu kwakuwa tuna penda amani huku tuna nun'gunika chini chini tunatakiwa tufike sehemu aliye juu tumfate hukohuko.
 
Nimesoma makala ya Mhe Job Ndugai aliyomwandaika mwandishi Barnabas Maro kwenye Gazeti la Tanzania Daima Jumapili nimesikitikia sana Tanzania kwa kuwa na Viongozi aina Job Ndugai. Moja mambo niliyojiuliza hivi watu wa ina ya Job Ndugai wanafikaje hata kupata ubunge watu wenye maono finyu wasioweza kupambanua mambo, wanaozungumzia ukabila enzi hizi, watu tunafikiri kwenda kwenye umoja wa Afrika yeye afikiria ukabila mufilisi kabisa watu wa aina hii. Nafikiri sitakosea kuwa hawa ndio wale wanaofikiri kimasaburi amboa ndio wanaotuongoza.
 
Katiba ya nchi inaonesha kuwa sifa za mbunge ni kujua kusoma na kuandika
bila kujali umesoma hadi darasa la ngapi...
 
Nimesoma makala ya Mhe Job Ndugai aliyomwandaika mwandishi Barnabas Maro kwenye Gazeti la Tanzania Daima Jumapili nimesikitikia sana Tanzania kwa kuwa na Viongozi aina Job Ndugai. Moja mambo niliyojiuliza hivi, watu wa ina ya Job Ndugai wanafikaje hata kupata ubunge? watu wenye maono finyu wasioweza kupambanua mambo, wanaozungumzia ukabila enzi hizi, watu tunafikiri kwenda kwenye umoja wa Afrika yeye afikiria ukabila mufilisi kabisa watu wa aina hii. Nafikiri sitakosea kuwa hawa ndio wale wanaofikiri kimasaburi amboa ndio wanaotuongoza.

Bright people always do not shine. In politics, it is networking which brings people to the top and not one's intelligence or performance.
 
Kupitia hapa nomba mnisaidie maana gazeti la Tanzania daima silipati mtandaon,had sasa kila niingia kwenye web yao naliona la tar 26 au 27,silipat la leo
 
Kama kuna uwezekano iwekeni makala hewan japo hata kwa summary il tuweze kuchangia kitu chochote. Asanteni.
 
[video=youtube_share;plZXAO8GBB8]http://youtu.be/plZXAO8GBB8[/video]
Unasikitisha sana mimi ninaona kunatakiwa Speaker mwingine huyu imekuwa bure!!
Nibora kilabu cha pombe kuliko bunge la sasa na speaker anashindwa kujua kuwa wanaopiga kelele siyo wabunge wa upinzani pekee lakini anaongozwa na itikadi!!
 
Ndugai ulichaguliwa na wabunge wenzako ili kuliongoza bungle kwa uadilifu na bila upendeleo kwa chama chako lakini unazidi kuonyesha jinsi unavyopemdelea chama Hebu badlika mh
 
Ndugai ulichaguliwa na wabunge wenzako ili kuliongoza bungle kwa uadilifu na bila upendeleo kwa chama chako lakini unazidi kuonyesha jinsi unavyopemdelea chama Hebu badlika mh

Ndugao ni kiongozi dhaifu na pia na hisi nafasi aliyo nayo alibebwa ila hana hata chembe ya talanta ya uongozi
 
Back
Top Bottom