Du,kumbe mlipewa pilau ili mmpigie kura,mbona hamkusema mapema?

Job, nadhani bado unastahili heshma ya kuitwa Mheshimiwa. Haya, Mh. Job Ndugai, umetukatisha tamaa sisi tuliokuweka hapo mjengoni. Hivi, hata kama wewe ni Naibu Spika, huruhusiwi kuuliza maswali kuhusu Jimbo lako lililotelekezwa na wewe? Hujali siyo? Nashangaa wenzio wakipigania kuboreshwa kwa huduma za jamii Majimboni kwao wewe unaminya tu, barabara zetu zina hali mbaya, kuna njaa kule hata kijijini kwenu, hospitali ni moja tu na zahanati hakuna kabisa katika Jimbo lako lote, maji ni shida... wewe unapokea posho tu ya bureeeee!! Na sasa hivi mnapigania iongezwe!! Ona aibu! Hatutaki tena kiongozi kama wewe 2015, kama ni pilau na mablangeti uliyogawa yanatosha... tumekuchoka. kama wananchi wako ni Bunge basi na wakuweke mjengoni tena 2015.

ukisoma sayansi hamna kupindisha maneno,namshangaa ndugai umeharibikia wapi?
roho haikusuti?asumme naye kiongozi wa upinzani anachukua nchi naye akawa wa visasi kama mlivyo ninyi hufikirii itakuwaje au utakuwa umekufa,anagalia wewe ni mzazi anagalia unatengeneza historia gani hapa nchini usilewe hali ya sasa angalia mbele ndugu yangu.
Nchi hii si ya CCM,ZINGATIA USHAURI HUU USIWE MCHOYO UKAJIFIRIA WEWE UKAACHA KUFIKIRIA WANAO,MIZEE MINGINE HUMO ILISHAACHA KUZAA MITOTO YAO MIJTU MIZIMA NDUGU YANGU.
KHERI MLEVI WA GONGO KULIKO MLEVI WA MADARAKA
Ndugai alipita bila kupingwa.....
Hakuna chama kilichosimamisha mgombea ubunge Kongwa zaidi ya CCM

Ndugai alipita bila kupingwa.....

Hakuna chama kilichosimamisha mgombea ubunge Kongwa zaidi ya CCM
Job, nadhani bado unastahili heshma ya kuitwa Mheshimiwa. Haya, Mh. Job Ndugai, umetukatisha tamaa sisi tuliokuweka hapo mjengoni. Hivi, hata kama wewe ni Naibu Spika, huruhusiwi kuuliza maswali kuhusu Jimbo lako lililotelekezwa na wewe? Hujali siyo? Nashangaa wenzio wakipigania kuboreshwa kwa huduma za jamii Majimboni kwao wewe unaminya tu, barabara zetu zina hali mbaya, kuna njaa kule hata kijijini kwenu, hospitali ni moja tu na zahanati hakuna kabisa katika Jimbo lako lote, maji ni shida... wewe unapokea posho tu ya bureeeee!! Na sasa hivi mnapigania iongezwe!! Ona aibu! Hatutaki tena kiongozi kama wewe 2015, kama ni pilau na mablangeti uliyogawa yanatosha... tumekuchoka. kama wananchi wako ni Bunge basi na wakuweke mjengoni tena 2015.
Ndugai alipita bila kupingwa.....
Hakuna chama kilichosimamisha mgombea ubunge Kongwa zaidi ya CCM
Nipo????... Ukiwaeleza watakwambia bifu za kidini!!!!!.KUNA WANAMWANGA KILIMANJARO JAMANI! KWA MAGHEMBE. kama vile hatuna mbunge sisi. Ukijaribu kufanya kitu hata kusaidia jamii yako unapigwa Juju.
Hakuna juju, ni ujinga wa kuendekeza u-ccmNafikiri juju ni issue nyingine. Labda tafuteni wataalam wa juju wakusaidieni. Au jaribu kumuona mbunge wa CCM wa Korogwe vijijini, ndiye mtaalam issue hizo.