Job Ndugai Umetukatisha Tamaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Job Ndugai Umetukatisha Tamaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mentee, Aug 23, 2011.

 1. Mentee

  Mentee Senior Member

  #1
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 142
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Job, nadhani bado unastahili heshma ya kuitwa Mheshimiwa. Haya, Mh. Job Ndugai, unatukatisha tamaa sisi tuliokuweka hapo mjengoni.

  Hivi, hata kama wewe ni Naibu Spika, huruhusiwi kuuliza maswali kuhusu Jimbo lako lililotelekezwa na wewe? Hujali siyo? Nashangaa wenzio wakipigania kuboreshwa kwa huduma za jamii Majimboni kwao wewe unaminya tu, barabara zetu zina hali mbaya, kuna njaa kule hata kijijini kwenu, hospitali ni moja tu na zahanati hakuna kabisa katika Jimbo lako lote, maji ni shida... wewe unapokea posho tu ya bureeeee!! Na sasa hivi mnapigania iongezwe!!

  Ona aibu! Hatutaki tena kiongozi kama wewe 2015, kama ni pilau na mablangeti uliyogawa yanatosha... tumekuchoka. kama wananchi wako ni Bunge basi na wakuweke mjengoni tena 2015.
   
 2. NEGLIGIBLE

  NEGLIGIBLE JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 358
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Du,kumbe mlipewa pilau ili mmpigie kura,mbona hamkusema mapema?
   
 3. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni Faida ya kuchagua Magamba kwa kunusishwa Pilau na kupewa Khanga na Kofia, 2015 msirudie tena kukubali kununuliwa haki zenu kwa kupewa Kofia au kupewa mlo 1 uwe wa Asubuhi, Mchana au usiku, angalia ulivyoku-cost haki zenu. Badala ya kuchagua mtetezi nyinyi mnachagua muwakilishi wa maslai yake. Haya poleni ndio mjifunze hivyo safari bado ndefu
   
 4. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #4
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Ndugai hana makosa, wenye makosa ni nyinyi mliomchagua kwa kupewa fulana, khanga na pilau...
  Msilalamike ndo hali halisi, subirini miaka mitano ipite ndipo mjiulize maswali haya.
   
 5. MBURE JASHA

  MBURE JASHA JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  KUNA WANAMWANGA KILIMANJARO JAMANI! KWA MAGHEMBE. kama vile hatuna mbunge sisi. Ukijaribu kufanya kitu hata kusaidia jamii yako unapigwa Juju.
   
 6. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #6
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Taratibu basi, huko Mwanga si ndiko mlikokunywa maji ya bendera nyinyi?
   
 7. T

  Tajiri Mtoto Senior Member

  #7
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 12, 2009
  Messages: 131
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  You were warned, MAGAMBA ni janga la kitaifa.....
   
 8. Mwathirika

  Mwathirika JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35

  kupanga ni kuchagua.
   
 9. C

  Chief Nanga Member

  #9
  Aug 23, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ilikuwaje mkarubuniwa na kilaza jama?
   
 10. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  &lt;br /&gt;<br />
  &lt;br /&gt;<br />
  Hahahahaha!watu wana roho ngumu aisee!kwa hiyo walichemsha bendera ya ccm wakagonga supu!hahahaha!
   
 11. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,394
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Huna haki ya kumlaumu kwakuwa kumbe mlimalizana nae. Aliwapa hivyo alivyowapa ili mumchague nanyi kwa kuridhika na thamani ya pilau mkaona huyo ndiye kiongozi bora. Kwa maneno rahisi, thamani yenu ni pilau ni blanketi kwakuwa hiyo ndiyo bei mliyonunuliwa nayo na mkaridhika. Sasa mnafikiri hivyo vitu yeye hakuvinunua? Kwani ameshawatangazia kuwa fedha yake imesharudi? Mnae huyo hadi 2015! Hebu tokeni hapa na matatizo yenu ya kujitakia.
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kumbe wengi ndio mnazinduka sasa hivi kuwa mliuziwa mbuzi kwenye gunia?
   
 13. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,394
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Nafikiri juju ni issue nyingine. Labda tafuteni wataalam wa juju wakusaidieni. Au jaribu kumuona mbunge wa CCM wa Korogwe vijijini, ndiye mtaalam issue hizo.
   
 14. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #14
  Aug 23, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Mtaje kabisa kwa jina ili asipotee!Profesa Maji Marefu.
   
 15. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #15
  Aug 23, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mkuu Mentee uyasemayo ni kweli kabisa mimi binafsi ni mkaazi wa hapa Kongwa na uloyasema ni sahihi,na ikumbukwe kua aloyasema mleta mada si kana kwamba yy ndie aliefaidi na hayo mablanketi,kofia,pilau nk hapana kabisa isipokuwa uelewa mdogo wa wananchi, ndio tatizo sana na hii iwe changamoto kwa viongozi wa CDM kutoa elimu ya Uraia kwa wananchi kwani hawa wananchi Mh Ndugai na wana CCM wengi wana tabia ya kuisema CDM vibaya kwa wananchi na jambo zuri wananchi wanaelewa nn CDM inafanya kwa sasa na wanaiunga mkono kwa kiasi fulani kwa hyo ni juu ya viongozi wa CDM kutembelea maeneo mengi ya Kongwa na kutoa elimu ya Uraia na hapa Dodoma kuna haja ya CDM washambulie wilaya zote za Dom kwani watu wamemezezeshwa upuuzi mwingi na hawa Magamba dhidi ya CDM hili ndio tatizo kubwa hapa Dom kwa kiasi kikubwa
   
 16. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #16
  Aug 23, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,410
  Likes Received: 1,968
  Trophy Points: 280
  2015 ataongeza na ka mountain dew mtamchagua tu huko dodoma bado sana mpaka mje mbadilike iko kazi
   
 17. K

  Kisanduku Member

  #17
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 18. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #18
  Aug 23, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Aisee nawapa pole sana wananchi wa MKOKA, CHALINZE,KIBAIGWA & KONGWA ujumla,

  Kanda ya ziwa tumeshawapiga chini, hao jamaa si watu bali ni genge majizi yanayokaa mjengoni na kusuka misheni town yao tuuu.

  Maeneo hayo yote nayafahamu vizuri, ni kweli kiangazi ni tabu sana.

  Jambo la msingi achaneni na CC-M hawafai.
   
 19. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #19
  Aug 23, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  wanafaidi blanket mwanzao posho
   
 20. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #20
  Aug 23, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,419
  Likes Received: 3,767
  Trophy Points: 280
  Na bado..............Nyoka ni Nyoka tu hata akivua gamba........... Cha muhimu katiba ibadirishwe na kila mkuu wa muhimili tumpigie kura.......na wala asiwe mbunge.......Mambo ya kuteuana ndo haya yanayopelekea spika wa bunge kuhudhuria vikao vya wabunge wa CCM
   
Loading...