Job Ndugai Umetukatisha Tamaa

Job, nadhani bado unastahili heshma ya kuitwa Mheshimiwa. Haya, Mh. Job Ndugai, unatukatisha tamaa sisi tuliokuweka hapo mjengoni.

Hivi, hata kama wewe ni Naibu Spika, huruhusiwi kuuliza maswali kuhusu Jimbo lako lililotelekezwa na wewe? Hujali siyo? Nashangaa wenzio wakipigania kuboreshwa kwa huduma za jamii Majimboni kwao wewe unaminya tu, barabara zetu zina hali mbaya, kuna njaa kule hata kijijini kwenu, hospitali ni moja tu na zahanati hakuna kabisa katika Jimbo lako lote, maji ni shida... wewe unapokea posho tu ya bureeeee!! Na sasa hivi mnapigania iongezwe!!

Ona aibu! Hatutaki tena kiongozi kama wewe 2015, kama ni pilau na mablangeti uliyogawa yanatosha... tumekuchoka. kama wananchi wako ni Bunge basi na wakuweke mjengoni tena 2015.

HUYU NI MMOJA WA WABUNGE WA CCM WA KANDA YA KATI KAMA AKINA KIBAJAJI, MWIGULU NA JUMA NKAMIA ? MMMMMMMMMMMMMMMMM ! ! ! MAJANGA. UCHAGUZI UJAO VIPI JAMANI WA KATI INA MAANA MMEISHIWAA ? NAKUJA.:kev:
 
We Radhia futa usemi wako! Ukweli huuoni wa upendeleo katika uongozi wa bunge against CDM. Mume wako ( if you are a female anyway, maana you never know with JF self baptized names) atakuwa anakosa ukweli toka kwako! Be objective and not subjective

akiolewa najinyonga !
 
MUNGU wa enzi na enzi fanya lile litakalo wapendeza waja wako, TUONDOLEE JANGA HILI LIITWALO NDUDAI.Ndugai ni hatari kwa ustawi wa NCHI.
 
Back
Top Bottom