OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,241
- 103,917
Pamoja na makosa na madhaifu yote ya Ndugai, ni upumbvu kushangilia kilichotokea.
Hapa aliepigwa siyo Ndugai bali limepigwa bunge!
Wajinga hawaelewi hili
kungekuwa na bunge la maana lisingetikiswa na hoja nyepesi kama hiyoPamoja na makosa na madhaifu yote ya Ndugai, ni upumbvu kushangilia kilichotokea.
Hapa aliepigwa siyo Ndugai bali limepigwa bunge!
Wajinga hawaelewi hili
... Ndugai anahukumiwa na historia yake mbovu ambayo inazidi hoja yake iliyomwondoa madarakani. Hoja yake itajadiliwa kwenye platforms nyingine kadhaa ila, kwa matendo na kauli zake, ashukuru kwa hilo lililomkuta; ana Mungu.Pamoja na makosa na madhaifu yote ya Ndugai, ni upumbvu kushangilia kilichotokea.
Hapa aliepigwa siyo Ndugai bali limepigwa bunge!
Wajinga hawaelewi hili
Wewe ndio mjinga WA Kwanza usieelewa Spika Dhaifu ali zaa Bunge dhaifu kilichompata alikistahiki kwani alishindwa kusimamia Sheria akajipandisha mabega yamemkuta Kwa NN tusijfariji??Pamoja na makosa na madhaifu yote ya Ndugai, ni upumbvu kushangilia kilichotokea.
Hapa aliepigwa siyo Ndugai bali limepigwa bunge!
Wajinga hawaelewi hili
I concurMy Take
Karma is a bit$$ch
Ni ujinga wa hali ya juu sana kusema limepigwa bunge,aliyepigwa ni ndugai,kama samia asingepitisha nkopo huu bungeni,ambapo bunge liliuidhinisha rasmi,ndugai akalalamija na rais akamfokea hapo ndipo mngesema limepigwa bunge,lakini samia kafata process zote na mkopo ukaudhinishwa na bunge,ndugai aje kulala eti mseme limepigwa bunge?,huo ni uzuzuPamoja na makosa na madhaifu yote ya Ndugai, ni upumbvu kushangilia kilichotokea.
Hapa aliepigwa siyo Ndugai bali limepigwa bunge!
Wajinga hawaelewi hili
Na wapige tu, kwani hawana msaada wowote. Wazee wa legacy mtapata kipigo mpaka msandePamoja na makosa na madhaifu yote ya Ndugai, ni upumbvu kushangilia kilichotokea.
Hapa aliepigwa siyo Ndugai bali limepigwa bunge!
Wajinga hawaelewi hili
So una maana kuwa aliyeuwa bunge na yeye kafa kibungeHakuna Bunge kuna kusanyiko la mazuzu wa CCM. Ndungai ndiye aliliua Bunge akishirikiana na yule dhalim aliyeko motoni sasa.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
uwage na akili kidogo basi.Ni ujinga wa hali ya juu sana kusema limepigwa bunge,aliyepigwa ni ndugai,kama samia asingepitisha nkopo huu bungeni,ambapo bunge liliuidhinisha rasmi,ndugai akalalamija na rais akamfokea hapo ndipo mngesema limepigwa bunge,lakini samia kafata process zote na mkopo ukaudhinishwa na bunge,ndugai aje kulala eti mseme limepigwa bunge?,huo ni uzuzu
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Naona asiye na akili anamfundisha mwenye akili, hii ndio Tanzania ya Ndugai mgalilaya.uwage na akili kidogo basi.
Hata kama hayo uliyosema yangekuwa kweli(kwa sababu sio kweli),
wakati Samia anatangaza tozo aliinanga mikopo na kusema ina masharti magum.
Na sababu ya kupitisha tozo ni kujenga vyumba vya madarasa na vituo vya avya
unaendaje kukuopa kwa kitu kile kile ulichowekea tozo?
Pamoja na hayo Ndugai hawajibiki kukubaliana na raisi kwa kila jambo
Ndugai ni mhimili mwingine kabisa..
Kitendo cha raisi kumtoa Ndugai sio peronal ni kitu cha utendaji ndani ya mhimili
Spika awe anafuata matakwa ya raisi wake.
Wewe ni mjinga ndio maana utasikitika kwani tuna bunge sie au kijiwe cha ndugaiPamoja na makosa na madhaifu yote ya Ndugai, ni upumbvu kushangilia kilichotokea.
Hapa aliepigwa siyo Ndugai bali limepigwa bunge!
Wajinga hawaelewi hili
Acha kupotosha kwa kauli hii, jiulize kwani kabla ya kujiuzulu bunge lilikuwa salama.Pamoja na makosa na madhaifu yote ya Ndugai, ni upumbvu kushangilia kilichotokea.
Hapa aliepigwa siyo Ndugai bali limepigwa bunge!
Wajinga hawaelewi hili
Wewe ni moja ya wajinga wanaofikiri tukio hili ni angauko la Ndugai na si angauko la bungeWewe ni mjinga ndio maana utasikitika kwani tuna bunge sie au kijiwe cha ndugai