JNIA naweza pata hati ya kusafiria ya muda?

Ila ile hati ya dharura ya kusafiria nikiwa nayo si naweza tumia kusafiri kwa flight?
Sijui kama umeshapata ulichokuwa ukitafuta ila kama bado, nenda kwenye ofisi yoyote ya mkuu wa wilaya. Huwa na maafisa wa uhamiaji pale na ndio haswa hu-deal na issues za temporary travelling document. Jitahidi uwe na viambatanisho vyote kama ulivyoshauriwa huko juu....

Mimi nilienda migration HQ wakani-direct huko na nikapata kikaratasi changu within a few hrs.

And yes....unaweza kusafiria kwa ndege. Cha muhimu iwe ni ndani ya EA Community.

PS
Ikiwa utajaza form online utakuwa umerahisisha zoezi kwa kiasi kikubwa!
 
Assnte sana mkuu nategemea wiki ya kesho nifuatilie nitaanza kujaza form online then nipeleke vielelezo vingine na nilipanga kwenda ofisi za uhamiaji kabisa kama walivyoshauri wadau wengine. Sasa kama ni wilayani ngoja nitafute ofisi za wilaya ya ubungo zipo wapi maana ndo ninakoishi. Au hata Kinondoni/ Ilala naweza enda nikapewa? Maana hizo ofisi zao nazifaham
 
I believe popote ni sawa maana mie walinielekeza niende tu Temeke since sio mbali kutokea pale Kurasini.
 
Kwahiyo hata kama wazazi ni marehemu lazima utafute cheti chao cha kuzaliwa/affidavit?
Yes, lengo ni jema, hata kama umezaliwa Tanzania, ili uwe Mtanzania ni lazima mmoja wa wazazi wako awe Mtanzania. Hivyo kupata birth certificate or affidavit ya mzazi ni lazima kwenye passport. Lakini baada ya Tanzania kuwa na national ID, this process should have been simple kwa wenye national ID, it's enough proof of uTanzania.
P
 
Pole, usipate tabu, Bongo tumeendelea sana, Passport na traveling document zinapatikana online, same day or two . Tembelea http://etd.immigration.go.tz/
or kwenye border posts zote, panda basi hadi boda ingia kituo cha OSBP ulizia Immigration, onyesha hiyo pasi iliyoisha muda wake, utapewa mpya. Muhimu ni uwe na vitu ifuatavyo...
1. A Birth Certificate yako.
2. A Birth Certificate or Affidavit of Birth ya mmoja wa wazazi wako.
3. National Identity Card
4. Recent, clear 1 passport size photo (to be uploaded online)
5.A fee of 150,000 for passport and 20,000 for Émergence TD.
P
Sio kweli
 
Back
Top Bottom