JNIA naweza pata hati ya kusafiria ya muda?

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
10,684
13,486
Wanabodi (in Pascal Mayalla voice),
Nimepata safari ya haraka kwenda Nairobi ila passport yangu ni zile za zamani ambazo hazitumiki na siku-renew. Sasa naomba kwa mnaofahamu je ninaweza pata pass ya muda ya kusafiria? Na ninaipata wapi,ni palepale airport au immigration? Maana kwa muda uliobaki ni mdogo sitoweza shughulikia passport na kuipata haraka nataka nikirudi ndio nishughulikie.

Natanguliza shukrani
 
vtuko

Member
Jun 12, 2016
41
25
Mi nakumbuka nilipata wizara ya mambo ya ndani kwa elf 20,000 kama sikosea kama unaenda within East africa countries.

Utaenda na passport na kama una invitation letter ya unakoenda utapata temporary ndani ya siku 1 mpka 2 tuu utakua ushapataa.
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
45,310
100,254
Wanabodi (in Pascal Mayalla voice),
Nimepata safari ya haraka kwenda Nairobi ila passport yangu ni zile za zamani ambazo hazitumiki na siku-renew. Sasa naomba kwa mnaofahamu je ninaweza pata pass ya muda ya kusafiria? Na ninaipata wapi,ni palepale airport au immigration? Maana kwa muda uliobaki ni mdogo sitoweza shughulikia passport na kuipata haraka nataka nikirudi ndio nishughulikie.

Natanguliza shukrani
Pole, usipate tabu, Bongo tumeendelea sana, Passport na traveling document zinapatikana online, same day or two . Tembelea http://etd.immigration.go.tz/
or kwenye border posts zote, panda basi hadi boda ingia kituo cha OSBP ulizia Immigration, onyesha hiyo pasi iliyoisha muda wake, utapewa mpya. Muhimu ni uwe na vitu ifuatavyo...
1. A Birth Certificate yako.
2. A Birth Certificate or Affidavit of Birth ya mmoja wa wazazi wako.
3. National Identity Card
4. Recent, clear 1 passport size photo (to be uploaded online)
5.A fee of 150,000 for passport and 20,000 for Émergence TD.
P
 
maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
10,684
13,486
Pole, usipate tabu, Bongo tumeendelea sana, Passport na traveling document zinapatikana online, http://etd.immigration.go.tz/
or kwenye border posts zote, panda basi hadi boda ingia kituo cha OSBP ulizia Immigration, onyesha hiyo pasi iliyoisha muda wake, utapewa mpya. Muhimu ni uwe na vitu ifuatavyo...
1. A Birth Certificate yako.
2. A Birth Certificate or Affidavit of Birth ya mmoja wa wazazi wako.
3. National Identity Card
4. Recent, clear 1 passport size photo (to be uploaded online)
5.A fee of 150,000 for passport and 20,000 for Émergence TD.
P
Asante sana bwana Paskali, nilitaka kujua kwa mimi ambae ntaondokea airport nawezaje kupata maana najua kwa border post unashughulikiwa palepale hata yellow fever vaccine nakumbuka nilichomaga Namanga na ni kipindi passport za zamani zinatumika. Tatizo this time naondokea JNIA ndo maana nikauliza kwa pale kama nitapata pass. Ngoja niingie kwenye hiyo link nione, thanks again kaka mkubwa
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
11,123
8,408
Wanabodi (in Pascal Mayalla voice),
Nimepata safari ya haraka kwenda Nairobi ila passport yangu ni zile za zamani ambazo hazitumiki na siku-renew. Sasa naomba kwa mnaofahamu je ninaweza pata pass ya muda ya kusafiria? Na ninaipata wapi,ni palepale airport au immigration? Maana kwa muda uliobaki ni mdogo sitoweza shughulikia passport na kuipata haraka nataka nikirudi ndio nishughulikie.

Natanguliza shukrani
Sijui muda mdogo ni muda gani, wakiamua hata siku hiyohiyo wanakupatia pasi ya kusafiria, na wakiamua itakuchukua zaidi ya mwaka kuipata. Zinatolewa uhamiaji sio kiwanja cha ndege!
 
Nkanini

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
5,133
11,863
Pole, usipate tabu, Bongo tumeendelea sana, Passport na traveling document zinapatikana online, same day or two . Tembelea http://etd.immigration.go.tz/
or kwenye border posts zote, panda basi hadi boda ingia kituo cha OSBP ulizia Immigration, onyesha hiyo pasi iliyoisha muda wake, utapewa mpya. Muhimu ni uwe na vitu ifuatavyo...
1. A Birth Certificate yako.
2. A Birth Certificate or Affidavit of Birth ya mmoja wa wazazi wako.
3. National Identity Card
4. Recent, clear 1 passport size photo (to be uploaded online)
5.A fee of 150,000 for passport and 20,000 for Émergence TD.
P
Shukraani mno kwa jibu muhimu ILA hapo ilitakiwa uwe na no 3&5 tu,maana sioni umuhimu wa vitu vingine hivi or iam missing something here
 
Grena

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
654
1,508
Hizo temporary passport za kusafiri East Africa zinapatikana immigration hata ndani ya nusu saa. Ili mradi uwe na documents wanazohitaji.

No ya nida, cheti chako Cha kuzaliwa, Cha mzazi au kiapo Kama mzazi Hana cheti Cha kuzaliwa, passport pic na elfu 30. Hapohapo unapewa kijikaratasi Chao oops Temporary traveling document
 
Nkanini

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
5,133
11,863
Inaonyesha hujawahi omba passport !. Yaani upewe passport kwa utambulisho wa national I.D only!.
P
Sawa mkuu nimekuelewa mno,lengo langu ilikua ni kutaka kuonyesha urasimu uliopo wa kuomba passport hapa nchini, ID book Ilitakiwa iwe na informations zote maana ndio life book yako, ndio maana nikipewa urais wa 24hrs hii wizara ya home affairs nitaigawa, police ministry (usalama wa ndani/raia)na home affairs (uraia na immigrations)informations zote za raia zitakua Chini ya wizara hii na systems yake itakua inaongea nchi nzima ikiwa ni pamoja na mabenki, traffic department, hospitals, schools etc etc,yaani kokote unakotaka kwenda kupata huduma kitu cha cha kwanza utaulizwa ID book, kwa passport application nikienda na ID book yangu na kuingiza in the systems number yangu lazima informations zote ziwepo, means ni kulipia na kusubiria collection, tutafika hii stage but not now may be vijukuu vyetu.
 
Tony Laurent

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
4,351
4,522
Pole, usipate tabu, Bongo tumeendelea sana, Passport na traveling document zinapatikana online, same day or two . Tembelea http://etd.immigration.go.tz/
or kwenye border posts zote, panda basi hadi boda ingia kituo cha OSBP ulizia Immigration, onyesha hiyo pasi iliyoisha muda wake, utapewa mpya. Muhimu ni uwe na vitu ifuatavyo...
1. A Birth Certificate yako.
2. A Birth Certificate or Affidavit of Birth ya mmoja wa wazazi wako.
3. National Identity Card
4. Recent, clear 1 passport size photo (to be uploaded online)
5.A fee of 150,000 for passport and 20,000 for Émergence TD.
P
Hati za kusafiria za Tanzania hazitolewi kwenye border posts. Zinatolewa kwenye Ofisi za Uhamiaji za Wilaya na Mikoa. Mpakani unaweza kusaidiwa kupata Border Pass, ambayo inakuruhusu kwenda umbali usiozidi kilometa 10 ndani ya nchi unayokusudia kuitembelea ambayo inapakana na Tanzania.
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
45,310
100,254
Sawa mkuu nimekuelewa mno,lengo langu ilikua ni kutaka kuonyesha urasimu uliopo wa kuomba passport hapa nchini, ID book Ilitakiwa iwe na informations zote maana ndio life book yako, ndio maana nikipewa urais wa 24hrs hii wizara ya home affairs nitaigawa, police ministry (usalama wa ndani/raia)na home affairs (uraia na immigrations)informations zote za raia zitakua Chini ya wizara hii na systems yake itakua inaongea nchi nzima ikiwa ni pamoja na mabenki, traffic department, hospitals, schools etc etc,yaani kokote unakotaka kwenda kupata huduma kitu cha cha kwanza utaulizwa ID book, kwa passport application nikienda na ID book yangu na kuingiza in the systems number yangu lazima informations zote ziwepo, means ni kulipia na kusubiria collection, tutafika hii stage but not now may be vijukuu vyetu.
Mkuu Nkanini, naunga mkono hoja, last year niliandika series za makala ziitwazo "kilio cha haki", nikasema wenzetu wenye National I.D, hawakamatani kijinga jinga na kusokomezana lupango bila sababu za msingi. National I.D iwe ni légal credential ya mtu kujidhamini Polisi , na hakuna haja ya magereza yetu kufurika mahabusu wakati tuna biometric ID Card.

Mtu ukiisha kuwa issue a national I.D, birth certificate na affidavit ya mzazi ya nini kwenye maombi ya Passport ?.
P
 
Kalunya

JF-Expert Member
Oct 5, 2021
13,351
17,985
Asante sana bwana Paskali, nilitaka kujua kwa mimi ambae ntaondokea airport nawezaje kupata maana najua kwa border post unashughulikiwa palepale hata yellow fever vaccine nakumbuka nilichomaga Namanga na ni kipindi passport za zamani zinatumika. Tatizo this time naondokea JNIA ndo maana nikauliza kwa pale kama nitapata pass. Ngoja niingie kwenye hiyo link nione, thanks again kaka mkubwa
Border pass ni kwa nchi Kavu majirani zetu na airport huwezi pata.
 
Isanga family

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
11,097
16,511
Inaonyesha hujawahi omba passport !. Yaani upewe passport kwa utambulisho wa national I.D only!.
P
Kupata passport ya karatasi ukiwa na passport kubwa hata ikiwa imeisha ile ndio dhamana yako utaambiwa lete barua ya mtendaji tu hiyo kwa Longido,Arusha na kule Uhamiaji Mbeya madereva malori wanachukua kwa mfumo huo anapata control number akilipa anaandikiwa karatasi yake safari inaendelea...
 
Nkanini

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
5,133
11,863
Mkuu Nkanini, naunga mkono hoja, last year niliandika series za makala ziitwazo "kilio cha haki", nikasema wenzetu wenye National I.D, hawakamatani kijinga jinga na kusokomezana lupango bila sababu za msingi. National I.D iwe ni légal credential ya mtu kujidhamini Polisi , na hakuna haja ya magereza yetu kufurika mahabusu wakati tuna biometric ID Card.

Mtu ukiisha kuwa issue a national I.D, birth certificate na affidavit ya mzazi ya nini kwenye maombi ya Passport ?.
P
Exactly mkuu hii ndio ilikua ndio point yangu,mabadiliko nchi hii bado tunayahitaji mno na hizi ID book/card ndio moja ya vitu tunavyovihitaji mno ,hizi kesi za kupambikiana za uraia zitakoma,mtoto akizaliwa tu na kabla mama hajaruhusiwa kurudi nyumbani ni LAZIMA mtoto huyu awe na birth certificate yenye ID number, number hii ndio itakua kama Jina lake, ataishi na kufa na ID number hii!
 
maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
10,684
13,486
Hizo temporary passport za kusafiri East Africa zinapatikana immigration hata ndani ya nusu saa. Ili mradi uwe na documents wanazohitaji.

No ya nida, cheti chako Cha kuzaliwa, Cha mzazi au kiapo Kama mzazi Hana cheti Cha kuzaliwa, passport pic na elfu 30. Hapohapo unapewa kijikaratasi Chao oops Temporary traveling document
Thanks mkuu
 
sawima

JF-Expert Member
Jul 9, 2019
5,162
7,717
Mkuu Nkanini, naunga mkono hoja, last year niliandika series za makala ziitwazo "kilio cha haki", nikasema wenzetu wenye National I.D, hawakamatani kijinga jinga na kusokomezana lupango bila sababu za msingi. National I.D iwe ni légal credential ya mtu kujidhamini Polisi , na hakuna haja ya magereza yetu kufurika mahabusu wakati tuna biometric ID Card.

Mtu ukiisha kuwa issue a national I.D, birth certificate na affidavit ya mzazi ya nini kwenye maombi ya Passport ?.
P

Kwahiyo hata kama wazazi ni marehemu lazima utafute cheti chao cha kuzaliwa/affidavit?
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom