mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,805
Mwanamke hatolipa hata kama akiandaa mtoko mwenyewe.Unaandaa vipi outings bila pesa?
Kwahiyo nije kukusikiliza nikiwa najitolea pesa mwenyewe?
Mimi niamue mwenyewe kushare bill sio wewe ndio ujiamulie mambo..!
Wewe huyo 😹Mwanamke hatolipa hata kama akiandaa mtoko mwenyewe.
Uamue mwenyewe kwani mwanaume hana haki ya kuamua?
Wanawake jau sana.
Mtoko wa mihogo na kachumbari🤣Wewe huyo 😹
Kweli sasa hivi umekuwa Gentleman, haya weka date tutafune pesa hizo..!!
[emoji23][emoji23][emoji23] na hapewi sasa.[emoji81][emoji81][emoji81] Ewaaahh..!!
Ila ujiandae kuombwa siku hiyo hiyo..!!
Akhu! Nna ulcers hivyo vyakula situmii..!! 😹Mtoko wa mihogo na kachumbari🤣
Atakuachia bill uoshe vyombo vya Hyatt 😹😹[emoji23][emoji23][emoji23] na hapewi sasa.
🤣🤣🤣 hauna shee.Shee Mimi ninazo
Hilo la kuuliza kweli???? Kwamba kweli hamuelewi???
Nimekuona hapo🫣Umejuaje sasa🙈
Nimekuona hapo mkavuuu🤣Aaah wapi 🙌🏿😂