Majukumu rafiki,umepotea au ndo majukumu
Asa je! πSawa nitalipa
Aliye organise/propose hiyo meeting
nimeipenda hiiπMtaka cha uvunguni sharti ainameπ NitavumiliaππΏ
ok vizuri nduguMajukumu rafiki,
ngojea nitakualika katikati ya mwezi hapoπHaya nani amualike nani sasa! Ama tualikane!?π
Unasubil yeye ndo aamue muanze na dog ama mende ππtukitoka na mwenzangu mi situmiagi kitu changu chochote yan mpka akili natumiaga zake, yeye ndo atanielekeza na kunifanyia kila kituπ
Aliye mtongoza mwenzake ndio alihitaji utamu zaidi, lazima alipe bills.Kwani utamu si tutapata wote?
πππSema mwanaume ukilipia bills ktk mtoko , automatically mwanamke anakuwa na nyegge za kumwaga, unakuta kei inalowana vilivyo muwapo kunako sita kwa sita
Aliye-initiate date ndio anawajibika, hii ni kizunguzungu. Kibongobongo mwanaume ndio mlipa bills no matter what! So, mwanaume kama huna pesa usikubali dating yoyote hata kama mwanamke amelazimisha, epuka aibu zisizo na lazima.
hapa tunaongea out ndugu mdau, hata na hiyo pia sio mbaya maana nikimuanziaga dog wazungu wanatoka haraka so huwa namsubiriUnasubil yeye ndo aamue muanze na dog ama mende ππ
Safi sana! Kuna viumbe havina aibuπββοΈHata hivyo siwezi kubali mwanamke alipe bills zangu. Sina hela natafuta sababu ya kutotokea, na huo mtoko hautakuwepo. Nimeumbwa hivyo yaani, sina hela nakausha, sababu kibao. π
πππππ
πΉπΉπΉ Ewaaahh..!!Aliye mtongoza mwenzake, kwa 7bu yeye ndio aliyehitaji Co operation.