Mimi kulipiwa bill na mwanamke haiwezekani.Nani anapaswa kulipa bili siku ya kwanza ya kukutana (first date) na kwa nini?
mwanaume kama huna pesa usikubali dating yoyote hata kama mwanamke amelazimisha, epuka aibu zisizo na lazima.πππAliye-initiate date ndio anawajibika, hii ni kizunguzungu. Kibongobongo mwanaume ndio mlipa bills no matter what! So, mwanaume kama huna pesa usikubali dating yoyote hata kama mwanamke amelazimisha, epuka aibu zisizo na lazima.
SawaπKwa hiyo baki na pesa yako! Ila darasani uje. π
Kwan wanawake wana hela?. Si hawana πππ.Safiiii
ObviouslyAliye organise/propose hiyo meeting
Pigia mstari hapo hapomwanaume kama huna pesa usikubali dating yoyote hata kama mwanamke amelazimisha, epuka aibu zisizo na lazima.πππ
Sawa nitalipaMwanaume .
π
πtukitoka na mwenzangu mi situmiagi kitu changu chochote yan mpka akili natumiaga zake, yeye ndo atanielekeza na kunifanyia kila kituπ
umepotea au ndo majukumuπ
utaweza? maan naweza kukukwaza kuanzia mda tulokutana kwa mara ya kwanza ππItabidi tufanye experiment