JLW:Gharama za Dates

Usitarajie pesa ya mwanamke kutumika hata kama huo mtoko kapanga yeye! Akitumia hela yake ujue amekukopesha, utalipa tuu bila wewe kujua! 😊
Mwanamke anapanga mtoko kwa "imagination", akijua tuu utamudu.
 
Kuna mademu wawili jana nimewatongoza, wa kwanza kabla hata hatujaelewana kuhusu show akaniambia nimtumie ten home kuna shida,nikamla kichwa nikasepa. Wa pili nikamtongoza akaniambia ili nione vuzi lake lazima nimpe 100k nikala kona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…