JKT watangaza nafasi za kujitolea

JKT watangaza nafasi za kujitolea

SIKILIZEN
Usikilize moyo wako na utayari wako nafasi hii ya jkt ni ya kujitolea lkn ajira zitakukuta humo cha msingi uwe mvumilivu na utayari ukijua kwamba unaenda kupigania taifa lako ...nimepitia comments zote humu lakini sijashangaa kukutana na maswali km hayo sababu bdo hamjaingia kufundishwa uzalendo watakaobaatika watakuja kukubaliana na mimi

NAMNA YA KUJIUNGA

Fuatilia kwa makini wilayani au mikoani kama tayar wameshaanza kupokea maombi suala la form ni baada ya jina lako juchaguliwa cha kufanya sasaiv andaa barua. kutoka serikali ya mitaa ya kukutambulisha, passport size, barua ya maombi pamoja na vyeti vyako vyote hivi ndivyo utakavyo wasilisha hukoo alafu baadae sasa litakuja suala la fom ikiwa tayar jna lako limepita

ONYO

Epuka kutapeliwa kwa form zinazouzwa mtaani

MWISHO

Anza kuiweka akili yako fiti kwa ajili ya kuingia katika mazingi mapya..mazingira ya kiaskari sio tna kiraia

JIONI NJEMA NA KILA LA KHERI MA COMRADE WENZANGU
 
Hao JAKATA wanajua kuzaa tu lakini kulea hawawezi....Kama lengo lenu ni kusaidia vijana na sio kujinufaisha ki bajeti....basi chukueni idadi ya vijana ambao mtawapa mafunzo wasipopata Ajira Wapewe mikopo ya Vikundi ili waendeleze upendo na nchi yao kwa ujuzi mlowapa na SIO kuwatelekeza mtaani kwa kisingizio kuwa ni utaratibu wa kujitolea......Wasaidieni don't take advantage ya tatizo la Ajira kwa vijana kujinufaisha nyie....Pia mnapowaacha mtaani na hayo mafunzo ndo kusema wawe majambazi..????
 
Hawa ------- kwa nn wako selective kwa graduate yaani kila wilaya MTU mbili
 
mimi bado naitaka hy nafasi tena kwa moyo mmoja kabisaaaaa....sasa naish temeke kwahy form naenda kuchukulia wapi?? naombeni muongozo wakuu.
 
Mchakato rasmi unaanza leo wakuu.

Changamkieni nafasi hii 'kwa wale wenye moyo' wa kwenda tu.

Usifanye maamuzi ambayo yatakuja kukuumiza baadae.
 
mimi bado naitaka hy nafasi tena kwa moyo mmoja kabisaaaaa....sasa naish temeke kwahy form naenda kuchukulia wapi?? naombeni muongozo wakuu.

Andika barua ipitie serikali ya mtaa na kata. Then ipeleke wilayani. Hii ni sample ya kinondoni.
1427282468277.jpg
 
Mkuu nakubari sana harakati zako tupo pamoja.... naomba tujulishe wilaya ya ilala wanapokea maombi mwisho lini? na form zinatolewa kwa utaratibu upi?

Ilala japo cna uhakika sana ila kwa za chini ya kapet wameanza kupokea barua nao wiki hii na mwisho nadhani ni wiki hii. Usahili kwa habari nilizozipata utaanza kufanyika week ijayo ngazi ya wilaya. Utaratibu wa barua nadhani ni ule ule ila unaweza kwenda pale ofc za mshauri wa mgambo wilaya ukapata maelezo zaidi. Ila kwa kinondoni wanapokea barua mpk tar 30. Ova
 
kama una professional nenda tu we we nafasi za kadeti zikitoka we we hutokosa au hautaki kuitwa liuetenant Excel

Unaweza kwenda moja kwa moja kadetI bila kupitia mafunzo ya tpdf nikimaanisha kuruta?
 
Last edited by a moderator:
Unaweza kwenda moja kwa moja kadetI bila kupitia mafunzo ya tpdf nikimaanisha kuruta?

Kwanza unaingia jkt then tpdf the kadeti ...kama ukipata mafunzo ya jkt ya awali ukafanikiwa kuchukuliwa jwtz ni rahisi kwako kwenda kadeti ..lakini yote haya yatategemea Kiwango chako cha elimu I mean kuanzia diploma
 
Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi mzuri
 
Mkuu nimekuelewa kote kote ulikoongea.

Watu wameshaanza kupiga madili hapa mjini.

Jana usiku nimeongea na jamaa yangu mmoja hivi, mambo aliyoiambia yani hata sijaamini...

All in all bongo kuna tatizo kubwa sana la ajira...
Alikuambia nini mkuu ?????? maana nami nataka nikachukue fomu hizo kesho zinakopatikana, nijuze nisijeingia mkenge.... hata kwa PM nitashukuru mkuu.
 
Shukran mkuu kwa taatifa..nimeambiwa mwisho ijumaa kwa ilala..majina yatakuja kutolewa baadae na ndipo form zitatolewa..na utaratbu mwingine kuendelea..
 
ivi wakuu sa hv nasikia wanatoka kwenda cadet kutokana naintake aliyetangulia xo naskia wale wa miaka hamsini ya jkt ndo wanamalizikia ila wadau owa anayetoka kwenda lazma uweke akilini kuwa unaweza kaa miaka 2 ndo uende cadet
 
Hivi wakuu hata madaktari , watu wa it na mainjinia wa majengo pia lazima wapitie jkt wakuu kweli.

Plz wenye information hii watujuze kwa faida ya wengine
 
Ilala japo cna uhakika sana ila kwa za chini ya kapet wameanza kupokea barua nao wiki hii na mwisho nadhani ni wiki hii. Usahili kwa habari nilizozipata utaanza kufanyika week ijayo ngazi ya wilaya. Utaratibu wa barua nadhani ni ule ule ila unaweza kwenda pale ofc za mshauri wa mgambo wilaya ukapata maelezo zaidi. Ila kwa kinondoni wanapokea barua mpk tar 30. Ova
mkuu kuna ukweli kuwa watu wenye kigugumizi hawahitajiki jeshini?
 
Back
Top Bottom