Jkt, ultimate security,kk security | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jkt, ultimate security,kk security

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Tugutuke, Apr 28, 2012.

 1. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Naomba nitafutiwe kazi jamani kwenye sehemu nilizotaja hapo kwenye Heading. Wengine mtachukulia poa tu, lakini nipo serious sana. Naomba mwenye kujua utaratibu anasaidie au anishughulikie,nami nione pa kutokea kimaisha. Sifurahii maisha ya Kuwa Idle home na vijiweni. Elimu yangu ni ya Sekondari tu.
  0768252589. Ntashukuru.
   
 2. C

  Crecent Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole kijana!!but never give up,pia ukipata nafasi ya kuongeza kisomo nenda ukaongezee,kuna mahali unaelekea kimaisha,ila bado tu haujapafikia,UTAFIKA TU......Kuna jamaa yangu yuko JKT Tanga nimeongea nae kasema nafasi zinatoka Mwezi MAY so tega sikio..All the best.
  GOD BLESS YOU.
   
 3. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Tears down my cheeks as I read between the lines ulizoandika. Kama Jf tungekua tunapeana moyo namna hii hata msamaha wa mungu katika maovu mbalimbali tuyafanyayo, tatizo la ajira nk ungeshuka. Yaani wakati mwingine unaweza ukapata majibu ya kuhuzunisha kutoka kwa baadhi ya wana-so-called GREAT THINKERS! Huu ni mfano wa kuigwa.
   
 4. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  [QUOTE Crecent;3801321]Pole kijana!!but never give up,pia ukipata nafasi ya kuongeza kisomo nenda ukaongezee,kuna mahali unaelekea kimaisha,ila bado tu haujapafikia,UTAFIKA TU......Kuna jamaa yangu yuko JKT Tanga nimeongea nae kasema nafasi zinatoka Mwezi MAY so tega sikio..All the best.
  GOD BLESS YOU.[/QUOTE]

  dah! Sijui mungu akupe nini,maana mpaka hapa ushaonesha ushirikiano. Naomba uendelee kuni update kwa chochote kuhusu hlo. Ubarikiwe sana.
   
 5. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  UNAONAEE.. Huyu mtu kafanya kitu fair.
   
 6. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Kuna dada flani alinipigia simu kwa namba niliyoweka,akaniambia sasa hv K.K. SECURITY wanachukua watu,kanipa maelezo kuwa wapo maeneo ya huko Kawe,ila sijamdaka vizuri. Kama kuna mwingine anayejua zaid kuhusu KK,anijulishe zaid. Namshukuru huyo Bi dada kwa kunipa angalau pa kuanzia.
   
 7. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kama vipi jaribu omba magereza kwenye hizo nafasi zilizo toka au mpaka sehemu inazo taka best wishes
   
 8. Mkiliman

  Mkiliman JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 957
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  .

  Mhe. JKT wameshatoa nafasi za kujiunga nao...nenda ofisi za wakuu wa wilaya na mikoa uonane na idara zao au washauri wa mgambo ktk hizo ofisi.
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Mkuu,omba magereza au uhamiaji walitoa nafasi ivi karibuni.
   
 10. J

  Jovinille Member

  #10
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fuatilia nafasi za jkt best na tambua god iz gud utafanikiwa
   
 11. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  ubarikiwe sana.
   
 12. C

  Crecent Member

  #12
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah! Sijui mungu akupe nini,maana mpaka hapa ushaonesha ushirikiano. Naomba uendelee kuni update kwa chochote kuhusu hlo. Ubarikiwe sana.[/QUOTE]

  "God bless you too bro,nimesoma baadhi ya post wanazungumzia hizo nafasi,jaribu kufuatilia...we are here to help each other,so worry not..God want us to Help each other"...Nakuakikishia ukimwamini Mungu Lazima ufikie ULIPOLENGA.,go brother,go,keep on going,soon you are going to be there by his grace.
   
 13. C

  Crecent Member

  #13
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thank You,GOD bless You....this is what God want us to be "to be a problem solver,to be an encouragement,to be a source of strength to others,to help others to fulfill their dreams etc.
  Thank You!!
   
 14. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #14
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Si zani kama ni vizuri sana kuji-limit kwenye hayo maeneo uliyotaja ukazani ndo sehemu pekee pa kutokea kimaisha;

  si busara kupeana matumaini kwa mambo ambayo baadae itakuja kuonena si msaada: target yako ni JKT na kwenye hizo Security guard Companies, sawa lkn kwa uelewa wangu huko ni kugumu sana kujinasua kimaisha: kwenye hizi kampuni za Ulinzi Ujira wao aulingani na kazi zinazofanyika, watu wanafanyakazi ili mradi tu muda uende lkn si kwamba maisha unaweza kuya-win kiurahisi we just imagine mshahara wa laki na tano(105,000) kwa mwezi unaweza kufanya nini cha maana!

  hivyo hivyo JKT hamna kitu ni kuambulia maumivu na suruba zisizo na kipimo utakaa uko kwa miaka 2 au 3 ukipokea posho elfu arabaini(40,000) kwa mwezi, baada ya hapo unaambiwa umehitimu nenda mitaani katafute kazi, mambo ni yaleyale utaambulia kuwa mgambo wa Jiji n.k kwa mshahala wa laki na ishirini(120,000) kwa mwezi, lbd tu kupitia JKT ubahatike upate chance ya kuingia JWTZ hapo unaweza kunusurika.

  What to do:
  1. Kwa hiyohiyo elimu uliyonayo unaweza fanya makubwa,kama huna kianzio tafuta vikundi vya Ujasiliamari ujiunge navyo, through that unaweza kujipatia kipato, na ukiona walau mambo si mabaya jiunge na chuo cha VETA, ujitafutie ujuzi fulani ambao utakufanya uonekane ni muhimu katika jamii inayokuzunguka na hatimaye kutoka kimaisha. lkn si hayo ya kwenda kusimama mageitini unalinda binadamu mwenzako kwa kipato duni .
   
 15. b

  bidada Senior Member

  #15
  May 1, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  umeshapata au bd? Naweza kukusaidia kwa jkt kama uko tayar
   
 16. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #16
  May 1, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Dah!! My hope is now bult on nothing else.
   
 17. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #17
  May 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Anyway KK-security jana nilisikia kupitia Redio Clouds wakitangaza nafasi za kazi, hivyo pamoja na ushauri niliokwisha utoa haina shida we nenda kawaone Ofisi zao ziko maeneo ya Mikocheni. ukipanda magari ya kwenda KAWE unatelemka kwa Nyerere hapo utapata mtu yoyote auelekeze ofisi ziliko, ni kama Meta 200 kutoka barabara kuu ya lami iendayo Kawe. Wanataka watu wenye elimu ya kidato cha nne na kuendelea
  ''But dont expect much through that'' utapata ajira lkn kipato ni ''hand to mouth'' tu..
   
Loading...