sinafungu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2010
- 1,524
- 860
tumesikia ulipoenda USA kuhudhulia kikao cha baraza la usalama, ulipanga pia kuongea na watanzania waishio huko kama ilivyo ada. nao walikuwa kwa hamu wanakusubiri wakuonyeshe msimamo wao kuhusu udhaifu wako wa kiutendaji hasa kimaamuzi kuhusiana na masuala mazito yanayoitafuna Nchi, baada ya kupata habari ulitumia mbinu zenu chafu, ili usiaibike. BW S. RWEYEMAMU tupe ukweli kuhusu hilo.