JK, TENGA wahangaika kufunga vifungo!

JK, TENGA wahangaika kufunga vifungo!

Nyanijike

Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
89
Reaction score
13
Nimewaona kupitia Startv, walipokutana na BLATTER huko duniani, hii ilitokea wkt wa kupigwa picha ya pamoja na bosi huyo wa soka dunian. Nadhan hawa jamaa zetu walijisahau kw kutofunga vifungo vya makoti yao, nilicheka sana!
 
umenikumbusha nilicheka sana hasa tenga na kuna baadhi ya picha koti lake lilikuwa wazi.nadhani wamezoea joto la dar sio makosa yao hata watu wengi dar wamezoea hivyo
 
...Kwani walikuwa wanalazimishwa na nani Kuvifunga? wasingefunga Ingekuwaje? Kwa nini isiwe Blatter anayehangaika kufuNGUA vifungo vyake????😱hwell:
 
duu jamani mboni mwamzodoa baba miraji kumwita fastjet yule ------ halisi
 
Wanahangaika na vifungo vya makoti kweli Wakati huku nyumbani kwake kunawaka moto?what impudence!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom