Deshmo
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 4,820
- 4,264
Basi usile Leo mtoto wa mwisho maana imekuuma sana nenda kamwambie mama
mandevu kawaathiri...! Aliwalazimisha au mlimpa wenyewe?
Basi usile Leo mtoto wa mwisho maana imekuuma sana nenda kamwambie mama
Hata kama kaalikwa labda jamaa ndo anaenda kuwashawishi watuletee viwanda na hapa kwetu.
Hata kama mtakataa Ukweli utajitokeza tu maana ukweli ni kama Kikohozi na moshi unaofuka:-
1. hata siku moja hakuna urafiki kati ya matajiri na maskini
2. Urafiki huo wa kualikwa kwa matajiri ni hatari kwa nchi kama yetu
3. Kwani umeona kwenye bajeti yetu ya mwaka 2013/14 waziri Mgimwa ameyaorodhesha
makampuni makubwa wanalipa na kuchangia kodi yoyote katika uchumi wetu
4. Kwani makampuni yanajileta yenyewe si jamaa anawaalika na tunaambiwa kwamba
wawekezaji wanachangia kuinua uchumi wetu wakati hawalipi kodi. Ama kweli hii ni nchi
ya Kalaghabao.
5. Wajinga ndio waliwao tumtegemee Mungu tu serikali hii haina dhamira ya dhati
kuboresha maisha ya walalahoi.
Rais Jakaya Kikwete ni miongoni mwa wakuu wachi walioalikwa kuhudhuria mkutano wa nchi zenye Viwanda Vingi G8,mkutano unaanza kesho UK.
my Take;
Safari kama hii ina Tija gani,na Jk anafuraha gani ya kuhudhuria mkutano wa wenye viwanda wakati ambapo serikali imeshindwa kuendeleza viwanda vya ndani.
Source;ITV
hana huo ujanja,lazima atoke ili CCM iweze endesha nchi..serikali imepanga abudget bil akuwa hata na miaa kwani mafisadi wameshagawana hela zote.Sasa wanaokota kama traffic na mlo wa sikumwenyewe ashawahi sema mnataka nikialikwa nisemeje? niwaambie wananchi wangu hawataki nitoke!
mwenyewe ashawahi sema mnataka nikialikwa nisemeje? niwaambie wananchi wangu hawataki nitoke!
Kila ukialikwa inabidi uende?wivu wa kike, jk kaalikwa.
Kila ukialikwa inabidi uende?wivu wa kike, jk kaalikwa.
Kwa sasa utakiwi kuogopa JK kwenda kokote uwezo wake tumeshaujua and he has done enough damage internally. Kilichobaki ni kusubiri muda wake uishe haraka sana tuokoe kilichobaki, unachotakiwa kukipigania kwa sasa ni misingi imara ya kulinda mariasili za taifa na kiongozi ajae asiwe le-le-mama kabisa, these people are coming and the consequences are gonna be severe and something wich we have never witnessed before; story yake nikitabu pekee ndio kinchoweza kufafanua (chukua acha huo ndio ukweli wenyewe).Rais Jakaya Kikwete ni miongoni mwa wakuu wachi walioalikwa kuhudhuria mkutano wa nchi zenye Viwanda Vingi G8,mkutano unaanza kesho UK.
my Take;
Safari kama hii ina Tija gani,na Jk anafuraha gani ya kuhudhuria mkutano wa wenye viwanda wakati ambapo serikali imeshindwa kuendeleza viwanda vya ndani.
Source;ITV
Umaarufu kazi sana, akialikwa makelele, asipoalikwa eti kachokwa akialikwa nako shida, sasa hakuna migomo, maandamano kilichobaki ni kutafuta vi thread kama hivi kutoa kihoro chao cha kukosa Urais!
Hii ni safari yake ya 351 toka aapishwe kuwa Raisi wa nchi hii mwaka 2005! Kwa hesabu za haraka haraka kama kila safari inachukua wastani wa siku tatu, katika miaka saba ya uongozi wake amekuwa nje ya nchi kwa siku 351x3 sawa na siku 1053! Kwa lugha nyingine iliyo chungu ni kwamba kwa miaka mitatu Raisi wetu yuko ugenini! Rais wetu anaishi kwa watu!Jason bourne said:14/06/2013 - SAFARI ya 351 ya rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005!
Rais anawasili Uingereza kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu, pamoja na mambo mengine, rais atahudhuria sherehe za kuzaliwa kwa Malkia wa Uingereza!
Purpose and expencive! Kafikiria?
Hii ni safari yake ya 351 toka aapishwe kuwa Raisi wa nchi hii mwaka 2005! Kwa hesabu za haraka haraka kama kila safari inachukua wastani wa siku tatu, katika miaka saba ya uongozi wake amekuwa nje ya nchi kwa siku 351x3 sawa na siku 1053! Kwa lugha nyingine iliyo chungu ni kwamba kwa miaka mitatu Raisi wetu yuko ugenini! Rais wetu anaishi kwa watu!
Hilo moja lakini la pili ni kwamba kulingana na vyanzo vya kuaminika kila safari yake moja gharama yake inakaribia shillingi 300,000,000/= kwa wastani! Milioni mia tatu...kwa iliyo chungu zaidi na isiyoweza kumezeka labda iwe kwa kusokomezewa ni kwamba katika hizo safari zake 351 ametafuna 300,000,000x351 sawa na shilingi 105,300,000,000/=!
Hilo la pili lakini la tatu linalotia hofu ni njama inayofanywa na walafi wajanja wanaofaidika na hizo safari zisokuwa na tija kwa taifa za kumuongezea miaka mingine miwili! Kwa lugha chungu isiyovumilika, kasi mpya ya kuwashughulikia wale wote wenye uthubutu wa kuhoji kulikoni, litatuachia taifa linaloongoza kwa idadi kubwa ya wasiokuwa na meno wala kucha!
Kwa kweli safari 351 katika miaka 8 ni nyingi sana kwa level ya Rais wa Nchi, sidhani kama kuna Rais yeyote Duniani aliyewahi kufikisha angalau nusu ya safari hizi. Nadhani atakuwa ana matatizo ya msongo kidogo, safari 351 za ndege si mchezo jamani.Hii ni safari yake ya 351 toka aapishwe kuwa Raisi wa nchi hii mwaka 2005! Kwa hesabu za haraka haraka kama kila safari inachukua wastani wa siku tatu, katika miaka saba ya uongozi wake amekuwa nje ya nchi kwa siku 351x3 sawa na siku 1053! Kwa lugha nyingine iliyo chungu ni kwamba kwa miaka mitatu Raisi wetu yuko ugenini! Rais wetu anaishi kwa watu!
Hilo moja lakini la pili ni kwamba kulingana na vyanzo vya kuaminika kila safari yake moja gharama yake inakaribia shillingi 300,000,000/= kwa wastani! Milioni mia tatu...kwa iliyo chungu zaidi na isiyoweza kumezeka labda iwe kwa kusokomezewa ni kwamba katika hizo safari zake 351 ametafuna 300,000,000x351 sawa na shilingi 105,300,000,000/=!
Hilo la pili lakini la tatu linalotia hofu ni njama inayofanywa na walafi wajanja wanaofaidika na hizo safari zisokuwa na tija kwa taifa za kumuongezea miaka mingine miwili! Kwa lugha chungu isiyovumilika, kasi mpya ya kuwashughulikia wale wote wenye uthubutu wa kuhoji kulikoni, litatuachia taifa linaloongoza kwa idadi kubwa ya wasiokuwa na meno wala kucha!
wivu wa kike, jk kaalikwa.