JK Safarini tena UK

JK Safarini tena UK

Tuna kazi kubwa sana ya kuondoa uozo uliopo kwenye system hakuna anayejali kila mtu anawaza kutafuna kidogo kilichopo na hawashtuki wanashindana tu kuibia masikini.
 
Mungu wangu huyu jamaa sijui tumfunge kamba za miguuni sasa? amezidi kila siku kiguu na njia tu
 
105,300,000,000 = 105.3 x 10^9 = 105.3 billion ! Parliamentary Oversight commitees on govt. expenditure zinafanya kazi gani?
 
Jk ana heshima yake acheni majungu.

Heshima inatakiwa itoke kwa watu anaowaongoza na sio wageni.Wazungu wataendele kutudharau as long as tunakalia dhahabu n.k lakini tunavaa suti na kubeba bakuli la omba omba mkononi. Tukiulizwa kwanini tu maskini tunashangaa.
 
Maraisi waliomtangulia ukichanganya urefu wa mabarabara walizojenga hawamfiki!!!shule za sekondari umichanganya hawamfikii!!!hospitali Zaanati Vituo vya Afya ukichanganya awamfikii!!!(zamani vingi vya wakoloni walirithi),idadi ya wahitimu vyuo vikuu na vyuo ukichabganya hawamfikii!!! Na ni miaka 7 tu,au munataka agawe pesa kama gadafi??? Ubinadamu kazi hata Gadafi walimuuwa.
 
Tukijadili outcomes za safari zake za nje, cna hakika kama patakuwepo na majibu yenye Tija kwa mustakabali wa Taifa letu.....,
Nikiwa nasafari huwa naambiwa safari njema.
Na me namwambia safari Njema...,
 
Nchi inaendeshwa kwa misaada mlitaka apige simu kuomba msaada huo.

Hata akija nani kua raisi lazima ataondo kwenda kuomba tuu
 
Maraisi waliomtangulia ukichanganya urefu wa mabarabara walizojenga hawamfiki!!!shule za sekondari umichanganya hawamfikii!!!hospitali Zaanati Vituo vya Afya ukichanganya awamfikii!!!(zamani vingi vya wakoloni walirithi),idadi ya wahitimu vyuo vikuu na vyuo ukichabganya hawamfikii!!! Na ni miaka 7 tu,au munataka agawe pesa kama gadafi??? Ubinadamu kazi hata Gadafi walimuuwa.

Umesahau Vingine mkuu DENI LA TAIFA KAWAZIDI, Ukichanganya Safari walizosafiri marais waliotangulia hawamfikii AMEWAZIDI, MIGOMO AMEWAZIDI,MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA AMEWAZIDI,KUHUDHURIA MISIBA NA HARAMBEE AMEWAZIDI,KUNG'OA KUCHA NA MENO AMEWAZIDI,nimekuelewa.
 
Nchi inaendeshwa kwa misaada mlitaka apige simu kuomba msaada huo.

Hata akija nani kua raisi lazima ataondo kwenda kuomba tuu

Huwa akirudi anakuambia amepewa shilling ngapi na zinafanya nini?
 
Umesahau Vingine mkuu DENI LA TAIFA KAWAZIDI, Ukichanganya Safari walizosafiri marais waliotangulia hawamfikii AMEWAZIDI, MIGOMO AMEWAZIDI,MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA AMEWAZIDI,KUHUDHURIA MISIBA NA HARAMBEE AMEWAZIDI,KUNG'OA KUCHA NA MENO AMEWAZIDI,nimekuelewa.

Kaka mkubwa,kukopa na kukubaliwa manake Unakopesheka. MF. daraja la Malagalasi mkopo wake miaka 40 hamna riba ni Wachina(sio kila nchi inakopeshwa)Safari ni jambo la kawaida inaonyesha wanakukubali vp?swala la safari zamani lilikuwa kama anasa,hata kwenda DAR wengine walipita Kenya, nasisi wa kusini siku 7 mpaka mwezi.Migomo na maandamano ni uhuru wa kujieleza na kutoa maoni,enzi ya mwalimu watu walifungwa wakina Mapalala,kutamka tu wanataka vyama vingi,Babaenu Mtei alifukuzwa,Misiba na Harambee silizungumzii,lawama zingine bana!!!mvua isipo nyesha mtalaumu Serikari,maisha bora kaka jitume !!! mtoto wakiume,hata Ulaya wanalia kila siku ugumu wa maisha,kenya wenye Uchumi mkubwa,watu wao wengi masikini,hawana hata kipande cha kulima ni vibarua ktk mashamba makubwa,na wanaongoza kwa ukosefu wa ajira,ni maneno ya benki ya dunia,njoo Masasi Aridhi nyingi tu,watu walikuwa wanafwa mbuzi vjijini na baskeli sasa pikipiki,mambo ya kucha me sijui (nimevurugwa) lkn Niliangalia video Lwakatare nika shangaa sana wanasema si yakweli hata mie sijui,Me CCM siwaelewi kwenye Gass tu.
 
Kaalikwa na matajiri? Nani anamlipia gharama za safari na starehe zake huko kama si Watanganyika? Maana wale wa nchi jirani ya Zanzibar ni Maskini zaidi, kwa safari hizi za jk hawawezi kumudu gharama! Siku moja atajibu kwa matumizi mabaya ya mali za umma!
 
Kaka mkubwa,kukopa na kukubaliwa manake Unakopesheka. MF. daraja la Malagalasi mkopo wake miaka 40 hamna riba ni Wachina(sio kila nchi inakopeshwa)Safari ni jambo la kawaida inaonyesha wanakukubali vp?swala la safari zamani lilikuwa kama anasa,hata kwenda DAR wengine walipita Kenya, nasisi wa kusini siku 7 mpaka mwezi.Migomo na maandamano ni uhuru wa kujieleza na kutoa maoni,enzi ya mwalimu watu walifungwa wakina Mapalala,kutamka tu wanataka vyama vingi,Babaenu Mtei alifukuzwa,Misiba na Harambee silizungumzii,lawama zingine bana!!!mvua isipo nyesha mtalaumu Serikari,maisha bora kaka jitume !!! mtoto wakiume,hata Ulaya wanalia kila siku ugumu wa maisha,kenya wenye Uchumi mkubwa,watu wao wengi masikini,hawana hata kipande cha kulima ni vibarua ktk mashamba makubwa,na wanaongoza kwa ukosefu wa ajira,ni maneno ya benki ya dunia,njoo Masasi Aridhi nyingi tu,watu walikuwa wanafwa mbuzi vjijini na baskeli sasa pikipiki,mambo ya kucha me sijui (nimevurugwa) lkn Niliangalia video Lwakatare nika shangaa sana wanasema si yakweli hata mie sijui,Me CCM siwaelewi kwenye Gass tu.

Duh!

Na wewe ni GT?
 
Sema amejialika! si inajulikana kwamba ameanzisha kitengo cha kujialika! Anaalikwa kwani naye ana viwanda nchini kwake? Si hata uzalishaji wa mali ghafi kumemshinda, huku KILIMO KWANZA kikiishia Magogoni.

Nani amuonee wivu mzururaji? Hizo safari inajulikana kwamba ndio UJASIRIA MALI WAKE WA MAGOGONI.

Acha wivu kijana
 
Kaka mkubwa,kukopa na kukubaliwa manake Unakopesheka. MF. daraja la Malagalasi mkopo wake miaka 40 hamna riba ni Wachina(sio kila nchi inakopeshwa)Safari ni jambo la kawaida inaonyesha wanakukubali vp?swala la safari zamani lilikuwa kama anasa,hata kwenda DAR wengine walipita Kenya, nasisi wa kusini siku 7 mpaka mwezi.Migomo na maandamano ni uhuru wa kujieleza na kutoa maoni,enzi ya mwalimu watu walifungwa wakina Mapalala,kutamka tu wanataka vyama vingi,Babaenu Mtei alifukuzwa,Misiba na Harambee silizungumzii,lawama zingine bana!!!mvua isipo nyesha mtalaumu Serikari,maisha bora kaka jitume !!! mtoto wakiume,hata Ulaya wanalia kila siku ugumu wa maisha,kenya wenye Uchumi mkubwa,watu wao wengi masikini,hawana hata kipande cha kulima ni vibarua ktk mashamba makubwa,na wanaongoza kwa ukosefu wa ajira,ni maneno ya benki ya dunia,njoo Masasi Aridhi nyingi tu,watu walikuwa wanafwa mbuzi vjijini na baskeli sasa pikipiki,mambo ya kucha me sijui (nimevurugwa) lkn Niliangalia video Lwakatare nika shangaa sana wanasema si yakweli hata mie sijui,Me CCM siwaelewi kwenye Gass tu.

Ninachojaribu kupinga hapo ni kitendo cha kuonyesha kuwa JK huyu ni bora kuliko marais 3 waliomtangulia,na hyo ni ndoto hakuna kipindi Tz imepita kipindi kigumu cha Ombwe la Uongozi kama hiki.
 
Back
Top Bottom