LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,496
- 3,388
Ngoja nizungukie jukwaa lengwa niangalie ni safari yake ya ngapi kwani bila kukosea kwa kumbukumbu ya Jason bourne ni safari ya 420.
Mmmmmh!
Mmmmmh!
Last edited by a moderator:
wivu wa kike, jk kaalikwa.
wivu wa kike, jk kaalikwa.
wivu wa kike, jk kaalikwa.
Wivu wa kike!!! Ghooosh...! Wewe una wivu wa kiume!!! Habu ngoja nikusaidie kukuelimisha wewe na wenye mawazo kama yako!!! Nifuatishe kwa makini katika comment yangu!
Bwana YESU alipokuwa akisulubiwa alivikwa joho jekundu na taji ya miiba. Kisha watesi wake wakapiga magoti mbele yake na kumdhihaki 'Salamu Mfalme wa Wayahudi'...kisha wakampiga piga kichwani na magongo kushindilia ile miiba kichwani, wakamtemea mate na kumsulubisha sana!!!! Hivi ndivyo wazungu wanaichezea Tanzania. Nchi yetu imevikwa joho jekundu na taji la miiba. Wanajifanya watatutukuza kumbe wanafiki wanatusulubisha kwa kupora raslimali zetu.
Hebu tuwaangalie hawa G8 (watesi wetu) namna walivyotuvika joho jekundu na namna wanavyotusulubisha!!!
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zimechaguliwa na nchi za G8 kuwa ni nchi iliyofanya vema katika tasnia ya uziduaji (EITI) yaani uwazi (Transparency) katika sekta ya Madini, Gesi asilia na Mafuta!!! (Hapa jiulize Transparency gani wanayoisema hawa watesi wetu kama mikataba ya madini, gesi na mafuta ni SIRI. wananchi hawaambiwi nini kilichomo ndani yake!!!). Sasa hao watesi (G8) wamesema watashirikiana na Tanzania katika masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na kutoa misaada kwa Idara mbalimbali za serikali na Asasi za kiraia, NGO na makundi ya kiharakati!!! (Nchi za G8 zimekuwa zikifadhili makundi ya kiharakati ili ku-distabilize hali ya amani na utulivu katika nchi zenye maslahi yao ili wavune kilaini).
Sasa hebu tuzitambue nchi za G8...ni pamoja na Canada, Uingereza, Marekani, Norway, Sweden, Japan na Ujeruman. nchi hizi zina makampuni makubwa Tanzania yaliyowekeza katika sekta ya madini, gasi asilia na Mafuta. Tazama...
CANADA: Makampuni yake TZ ni African Barrick Gold(ina migodi mikubwa ya Tulawaka, Buzwagi, North Mara, Bulyanhulu) na makampuni ya mafuta na gasi ya Orca Exploration Group, Antrim Resources, Artumas Group.
UK: BG Group, Dominion Oil & Gas, Pan African Energy, Petrodel Resources/ Heritage Oil, HYROTANZ, Tullow Oil.
NORWAY: Statoil
USA: ExxonMobil na Anadarko Corporation.
SWEDEN: Miradi ya ukoloni mpya kupitia mzingira na hewa ukaa (REDD)
hiyo ni mifano michache ya makampuni ya G8 nchini Tanzania.
Sasa mwaliko wa JK kwenda huko UK tena na Prof. Muhongo hapo nawaachia mchanganye akili zenu mjue maana yake nini!!!! Wamekwenda kuhudhuria mkutano wa G8 kuhusu masuala ya uziduaji katika sekta ya Madini, gesi asilia na Mafuta! Hakuna jambo jipya chini ya jua. tunatendwa kama Bwana YESU alivyotendwa! Raslimali zetu zinakwenda hivyo!
. Wanajifanya watatutukuza kumbe wanafiki wanatusulubisha kwa kupora raslimali zetu.
Hapa jiulize Transparency gani wanayoisema hawa watesi wetu kama mikataba ya madini, gesi na mafuta ni SIRI. wananchi hawaambiwi nini kilichomo ndani yake!!!). Sasa hao watesi (G8) wamesema watashirikiana na Tanzania na kutoa misaada kwa Idara mbalimbali za serikali na Asasi za kiraia, NGO na makundi ya kiharakati!!! (Nchi za G8 zimekuwa zikifadhili makundi ya kiharakati ili ku-distabilize hali ya amani na utulivu katika nchi zenye maslahi yao ili wavune kilaini).
Sasa mwaliko wa JK kwenda huko UK tena na Prof. Muhongo hapo nawaachia mchanganye akili zenu mjue maana yake nini!!!! Wamekwenda kuhudhuria mkutano wa G8 kuhusu masuala ya uziduaji katika sekta ya Madini, gesi asilia na Mafuta! Raslimali zetu zinakwenda hivyo!
Kila unapoalikwa unaenda bila kutathmini tija!wivu wa kike, jk kaalikwa.
Kaka K.K. Nikupongeze kwa uchambuzi wako Ni Mchango wenye TIJA na mtazamo halisia! Ukweli huu unaudhi, unakera, unakatisha tamaa.Hivi Watanzania ni wapi tulipojikwaa hadi kufikia udhaifu huu? Utadhani tumelogwa? I am sorry lakini nyakati fulani nafikia kumlaumu sana Baba wa Taifa!
Wivu wa kike!!! Ghooosh...! Wewe una wivu wa kiume!!! Habu ngoja nikusaidie kukuelimisha wewe na wenye mawazo kama yako!!! Nifuatishe kwa makini katika comment yangu!
Bwana YESU alipokuwa akisulubiwa alivikwa joho jekundu na taji ya miiba. Kisha watesi wake wakapiga magoti mbele yake na kumdhihaki 'Salamu Mfalme wa Wayahudi'...kisha wakampiga piga kichwani na magongo kushindilia ile miiba kichwani, wakamtemea mate na kumsulubisha sana!!!! Hivi ndivyo wazungu wanaichezea Tanzania. Nchi yetu imevikwa joho jekundu na taji la miiba. Wanajifanya watatutukuza kumbe wanafiki wanatusulubisha kwa kupora raslimali zetu.
Hebu tuwaangalie hawa G8 (watesi wetu) namna walivyotuvika joho jekundu na namna wanavyotusulubisha!!!
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zimechaguliwa na nchi za G8 kuwa ni nchi iliyofanya vema katika tasnia ya uziduaji (EITI) yaani uwazi (Transparency) katika sekta ya Madini, Gesi asilia na Mafuta!!! (Hapa jiulize Transparency gani wanayoisema hawa watesi wetu kama mikataba ya madini, gesi na mafuta ni SIRI. wananchi hawaambiwi nini kilichomo ndani yake!!!). Sasa hao watesi (G8) wamesema watashirikiana na Tanzania katika masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na kutoa misaada kwa Idara mbalimbali za serikali na Asasi za kiraia, NGO na makundi ya kiharakati!!! (Nchi za G8 zimekuwa zikifadhili makundi ya kiharakati ili ku-distabilize hali ya amani na utulivu katika nchi zenye maslahi yao ili wavune kilaini).
Sasa hebu tuzitambue nchi za G8...ni pamoja na Canada, Uingereza, Marekani, Norway, Sweden, Japan na Ujeruman. nchi hizi zina makampuni makubwa Tanzania yaliyowekeza katika sekta ya madini, gasi asilia na Mafuta. Tazama...
CANADA: Makampuni yake TZ ni African Barrick Gold(ina migodi mikubwa ya Tulawaka, Buzwagi, North Mara, Bulyanhulu) na makampuni ya mafuta na gasi ya Orca Exploration Group, Antrim Resources, Artumas Group.
UK: BG Group, Dominion Oil & Gas, Pan African Energy, Petrodel Resources/ Heritage Oil, HYROTANZ, Tullow Oil.
NORWAY: Statoil
USA: ExxonMobil na Anadarko Corporation.
SWEDEN: Miradi ya ukoloni mpya kupitia mzingira na hewa ukaa (REDD)
hiyo ni mifano michache ya makampuni ya G8 nchini Tanzania.
Sasa mwaliko wa JK kwenda huko UK tena na Prof. Muhongo hapo nawaachia mchanganye akili zenu mjue maana yake nini!!!! Wamekwenda kuhudhuria mkutano wa G8 kuhusu masuala ya uziduaji katika sekta ya Madini, gesi asilia na Mafuta! Hakuna jambo jipya chini ya jua. tunatendwa kama Bwana YESU alivyotendwa! Raslimali zetu zinakwenda hivyo!
Acha kudanganya watu wewe!!!!
Tangu lini Norway na Sweden zikawa ktk G 8???
G 8 Ni (UK, France, German, USA, Canada, China, Italy na Russia)!!
Rais Jakaya Kikwete ni miongoni mwa wakuu wachi walioalikwa kuhudhuria mkutano wa nchi zenye Viwanda Vingi G8,mkutano unaanza kesho UK.
Source: ITV
my Take;
Safari kama hii ina Tija gani,na Jk anafuraha gani ya kuhudhuria mkutano wa wenye viwanda wakati ambapo serikali imeshindwa kuendeleza viwanda vya ndani.