Pengine tusilalamike sana!!!Huenda vipaumbele vya maendeleo ya Taifa letu ni Rais wetu kupaa sana!
Kuna bwana mmoja yeye alitoa comment kwamba kuna haja ya kumfunga kamba JK ili asiruke sana nje!
JK vunja ziara yako rudi TZ/Arusha ili uwe karibu na watu wako. Wakati ule ulivunja safari yako Kuwait na ukatoa sababu kama hizi. Tunakuangalia safari hii kama kweli you meant it au kama ilikuwa nikuwafurahisha maaskofu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.