JK On CNBC Morning Call - He Was Right

JK On CNBC Morning Call - He Was Right

Nostradamus

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2009
Posts
392
Reaction score
6
No nation is an island I guess.Very justifiable.

Last edited by a moderator:
---I do all that I do for the love that I have to my country--

---You do all you do for the love of Mafisadi. We are concerned with our nation welfare first not the popularity stance of Kikwete---
 
---You do all you do for the love of Mafisadi. We are concerned with our nation welfare first not the popularity stance of Kikwete---

Freedom of Speech.I respect that and I let u have that.
 
But stil useful.Kwani malalamiko ya chadema ni ya jana??
kumbe nyie mnadhani mnapambana na CHADEMA?
Sisi Watanzania tumelalamika na tunaelekea kuchukua hatua.
Chadema ni jukwaa kama jukwaa lolote lakini mahubiri popote
 
kumbe nyie mnadhani mnapambana na CHADEMA?
Sisi Watanzania tumelalamika na tunaelekea kuchukua hatua.
Chadema ni jukwaa kama jukwaa lolote lakini mahubiri popote

Video umeangalia na ujumbe umeupata.The rest has nothing to do with the message that I wanted you to receive in this particular post.Tuzidi kusonga mbele.

Mungu Ibariki Tanzania
 
Ukiendesha gari kizembe ujue kuna consequences zake ahead.
unapoweka post sitegemee kuwa kila mmoja atakuwa na uelewa sawa.
tunaenda deep nyuma ya maneno ya hiyo clip tunasoma mpaka lips kujua utashi wa mzungumzaji
 
JK anapewa prime time slot anaanza kutaja nchi majirani wa Tanzania, halafu baadhi ya watanzania wanaishia kusema "He was right".

Huyu anajua 8 seconds attention span ya audience yake? Au anafikiri yuko Kigamboni hapo ?

Watu wameangalia na ku flip the channel tu.
 
Anaeleweka.Anachokisema ni justifiable.Muda utasema ndugu.JK anakubalika.
Ni kitu gani justifiable hapo?? 2.3 % ya madini doesn't even break-even the environmental costs achilia mbali mazagazaga mengine kwene socio-economix..Watu wenye fikra duni kama nyie mnatakiwa DNA zenu zipotezwe...u r a liabilities to this planet.
 
Whatever,ila wananchi tunamsikiliza,tunamuelewa na kura tutampa.

utampa wewe usiseme wananchi.kwani unamuwakilisha nani hapa mpaka useme mtampta kura?? endeleeni kumuelewa kwa kuwa akili zenu zimefanana...kama uwezo wako wa kufikiri ni finyu huwezi kumuelewa mtu mwingine yeyote zaidi ya JK
 
Naelewa mengi na nina uwezo wa kupambanua lipi linafaa kwa wakati huu na lipi halifai.
Naeleza maoni yangu na ninayo haki hiyo kama wewe ulivyo nayo.
Nimetoa video hii kuonyesha/kukumbusha kwamba rais (wako na wangu) alijua nini anafanya katika sekta ya uchumi.
Mwisho akili za binadamu hazifanani in katika hali yoyote ile.
 
Whats so special alichoongea hapo 'Dr. Mkwere'?
 
Back
Top Bottom