lol..jk was in nasdaq doing what he does best..ukuwadi..i bet hiyo ndio kazi kubwa anayoiweza baada ya ile ya kuwalinda waizi waliomfadhili na wanaomfadhili urahisi. Trust me, sioni faida ya kuwa na serikali ya kikuwadi, kwanini tuwafuge watu wasio na faida? Kama tunahitaji brokers, tutaajiri brokers kututafutia wawekezaji sio rais mfuga wezina serikali isiyoleta output yeyote.
Hizo safari zake za nasdaq na kuangalia nba games zimelisaidia vipi taifa? Unaweza kutuonesha mathematically ni wapi na kwa vipi na kwa kiasi gani zimelipa?? Oohh..sidhani mtu mwenye caliber ya malaria sugu anaweza kujibu haya..
Btw, niambie ni nchi gani duniani ambayo imeendelea kupitia remittances pekee..narejea kusema, watu kama nyie ndio msingi hasa wa umaskini wetu..