JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

Mwenye kigeugeu ni huyo Simba na bakwata yake, dini iko imara.

Imara halafu Mlishindwa haya

¤Kuisababisha serikali itoe pesa kwa mahakama ya kadhi

¤Kushindwa kujua mpo wangapi Leo toka Wakoloni wawahesabu

¤Kushindwa kujenga Mashule na Hospitali na kubaki kulalamika

¤Waislam wa Uamsho kushindwa kuvunja Muungano

MMEMSHINDWA KILA KITU INGAWA DINI YENU NA SIASA PETE NA KIDOLE NA MASHEIKH WANAHUBIRI HIVYO
 
Source Habari Leo na Jambo leo

Akiwa mjini Mbeya rais J. Kikwete kasema kuwa ni MARUFUKU kuweka kipengere cha dini kwenye hesabu ya sensa na makazi itakayo anza mwezi ujao na kusisitiza kuwa dhamila ya serikali ni kujua idadi ya watu wake sio idadi ya waumini wa Tanzania na kuainisha kuwa vitu vya msingi ni;

Kujua idadi ya watu kwa maendeleo ya mipango ya serikali tu hakuna cha ziada.

Concern

LIWALO NA LIWE

hana ujanja wakati yeye ndo kaleta matatizo ya udini humu nchini
 
Maimamu wa Arusha wamesema hawatashiriki Sensa ya Agosti 26 wakidai TBC haikuwatendea haki kutangaza idadi ya Waislam.

from, https://twitter.com/ITVTANZANIA
 
KWANINI WALIWARUHUSU WATU WAO KWENDA KUOMBA UKARANI WA SENSA. Na majina yametoka

Wamekataa Maimamu si Wafuasi wao.
 
Imara halafu Mlishindwa haya

¤Kuisababisha serikali itoe pesa kwa mahakama ya kadhi

¤Kushindwa kujua mpo wangapi Leo toka Wakoloni wawahesabu

¤Kushindwa kujenga Mashule na Hospitali na kubaki kulalamika

¤Waislam wa Uamsho kushindwa kuvunja Muungano

MMEMSHINDWA KILA KITU INGAWA DINI YENU NA SIASA PETE NA KIDOLE NA MASHEIKH WANAHUBIRI HIVYO
Kuwa na subra yakhee! Time will tell kama tumeshindwa.
 
kuna kipeperushi kimoja nimekiona kutoka taasisi ya kiislam,ambao wametoa masharti kuwa lazima kuwepo na uwiano sawa wa makarani kat ya wakristo na waislam, alafu wakasema kuwa lazima dodoso la kigezo cha dini liongezwe kwenye makabrasha ya sensa. waliitimisha kwa kusema kuwa endapo hayo mambo hayatatimizwa basi ni HARAMU kwa muislamu kushiriki katika sensa.
 
kuna kipeperushi kimoja nimekiona kutoka taasisi ya kiislam,ambao wametoa masharti kuwa lazima kuwepo na uwiano sawa wa makarani kat ya wakristo na waislam, alafu wakasema kuwa lazima dodoso la kigezo cha dini liongezwe kwenye makabrasha ya sensa. waliitimisha kwa kusema kuwa endapo hayo mambo hayatatimizwa basi ni HARAMU kwa muislamu kushiriki katika sensa.

kichwa ni kiungo muhimu katika kufikiri, kikishindwa kazi inakuwaje?
 
Kumekuwa na vuguvugu la chini la waumini wa dini ya kiislamu kugomea zoezi la sensa linalotarajia kufanyika Agost 26, 2012. Waumini wa dini ya kiislamu wamekuwa na madai ya kutaka kuingiza kipengele cha kujua idadi ya watu kwa imani zao pia.

Si vyema kudai kuwa madai haya ni halali au si halali. Ni vyema serikali ifahamu kuwa waumini wamehamasishana kutojitokeza katika zoezi hilo na badala yake siku hiyo itumike kufanya ibada misikitini.

Natoa angalizo kuwa ni vyema serikali ikatafuta ufumbuzi mapema kuliko kukaa kimya na kutumia pesa nyingi kwa zoezi ambalo halitotoa jibu sahihi la idadi ya Watanzania na hatimae kutoa takwimu za kuchakachua.
 
Kwani miaka yote uwa inakuwa sahihi? Tanzania ni nchi ya masihara na kuchakachua tu.
 
unafika wakati hujui waislam wanataka nini hasa?? watatulia na wataendelea once wakishamjua adui yao wa kweli ambaye ni 'serikali' na si maaskofu au kanisa ai CDM. serikali inafurahi ikiona waislam wana-hit off target
 
ww usiwe mjinga sikiliza hoja za maimam ndo utoa kwanini nakama hujazipata zitafute ndo uwandike kwanini hongereni maimam nisi maamuma tuko nyuma hashiriki hadi serkali ikubali hoja za msingi na nakuachana na udangayifu wa takwim za sensa
 
kwanini kama serikali haina dini itoe idadi ya waislam na wacrito kwa ushahidi upi waseme waislam kidogo kuliko waislam mdagani na wapi walifanya majumuisho hayo jee wawakilishi walikuwepo wote kwanini wadanganye ulimwengu
 
huku ni kuchanganyikiwa kama si kuwachanganya waumini wao kwa haya matamko (kama kuna ukweli katika hili) mara tamko limetolewa morogoro "hatutashiriki sensa"mara tamko limetolewa dodoma "tutashiriki"mara tena tamko arusha "hatutashiriki" najiuliza hao wanaotoa hayo matamko ni kina nani? na wana vyeo gani? na je malengo yao ni nini hasa? Je huo ndo msimamo wa waislam wote kwenye hii nchi au ni msimamo wa kikundi flani ili tu kutimiza malengo yao,na mwisho wa siku nini tamko la kiongozi wa waislam wote hapa nchini? kesho tena tunaweza kusikia rukwa wakasema waislam tushiriki sensa..hebu wajipange kwanza miruzi mingi hupoteza mbwa
 
Back
Top Bottom