JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

Duu kweli, laiti ungejua kipengele cha dini sio cha msingi sana kama kabila! Dini unaweza kubadili lakini kabila huwezi. Hizo ni nadharia tu au ukichaa fulani uliojichagulia kuufuata kwa lengo la kupata faraja ya kutazamia kitu ambacho hakijawahi kuwepo (kitu cha kudhania tu - imani). Hivyo ni bora kuchagua yenye afadhali, tena hizi tunazong'ang'ania sio zetu, niza Waarabu na Wazungu.

Hivyo kiasili kabisa kama ni kuongeza kipengele cha ukabila ni kikubwa kuliko dini. Vipengele muhimu vingine ni kama kujua umri, jinsia , kazi, elimu, afya. Mambo ya dini ni wendawazimu tu, yatachanganya watu tu. Acha dini watu wajihesabu kivyaovyao na serikali isijiingize kwenye huu mchafuko.

Pia serikali inaweza kutafuta utaratibu wowote wa kusaidia wananchi wake. Ila kwa maoni yangu ikiamua kusaidia kupitia kwenye dini naona itakuwa imeingia mkenge. Sababu haya madini yaliyopo hapa yana maslahi ya wahuni wachache wanaovaa vilemba eti vya utakatifu/uwakilisho wa Mungu, kwangu mimi sijui ni Mungu yupi, sababu hata wanaabudu ng'ombe wanaita mungu!

Hayo ni maoni yangu tu naomba kuwasilisha

no further comments
 
..........naona wewe umeshachanganyikiwa kabla ya kuwa na dini ! yaani ni sawa kwako kujua mtu ni mke au mume, ila ni mbaya kujua dini yake !
 
kwa hiyo wagalatia werevu wako bize kusikiliza redio ya vichaa, kisha wanachukua mada za vichaa wanaleta kwa werevu wenzao ! Ndo maana mnanunua picha na kuomba ziwasaidie !

taratibu sheikh. kwanza Assalaam Alaikum. tuvumiliane p'se. za usoni haziruhusiwi hapa. jaribu kujizuia tafadhali.
 
..........naona wewe umeshachanganyikiwa kabla ya kuwa na dini ! yaani ni sawa kwako kujua mtu ni mke au mume, ila ni mbaya kujua dini yake !

Nani kakuambia sina dini? Ninayo yango ya enzi za ... ambayo siitaki ni ya kufuata mkumbo, kama upepo na bendera. Na je hiyo waliyokuletea hao marafiki zako una uhakika ipo sawa? Itikadi huingiza watu kwenye zigo kubwa la utumwa wa kiimani, imani feki. Jaribu kuangalia wale wanaojidai wanafuata sana hiyo itikadi yako, je wana maendeleo mazuri ya kiakili, kijamii, kisayansi nk. Mzee wahi taraweye usije haribu funga yako
 
haya mambo bwana!Hivi sheria inasemaje kuhusu watu wanaohamasisha wenzao kugomea Sensa?
 
Nitafurahi nikiona mmja wao hasubuhi na mapema ameokotwa mabwepande.
 
Nitafurahi nikiona mmja wao, hasubuhi na mapema ameokotwa mabwepande.
 
Wapewe ubwabwa watatulia hao!

Acha upuuzi wewe. Waislamu have legitimate grivances na serikali haina budi kuwasikiliza. Chungulia jirani Kenya nafasi walopewa waislamu katika uongozi wa nchi il hali ni wachache sana ukilinganisha wakristo.
 
hilo si tatizo kwa waislamu kwani ni jambo la lazima mwanadam kufa, na ni jambo jema akifa kwa kutetea dini.

Kweli mkuu ila wangekazana kujenga taasisi za elimu nadhani ingependeza. Lakini mabwepande sio lazima ukutwe umekufa.
 
Wadau nimepokea SMS kutoka kwa Jamaa zangu unasomeka hive:-

Yaa"ALLAH"Natamka kwa Ulimi ninakiri kwa moyo kuwa wewe"ALLAH"ukiwa Shahidi,kua sito Shiriki zoezi la SENSA mpaka Kipengele cha "DINI" kiwemo katika "DODOSO"za "SENSA"Sitoshiriki maana huo ndio msimamo wa "WAISLAMU",na kama nitashiriki, Allah unajua nini malipo ya "WANAFIKI"Nlinde nisiwe miongoni mwa WANAFIKI,Amina! TUMA ZAID KWA WAISLAM
 
Kipengele cha dini ni muhimu ili kudhibiti data feki ambazo zimezagaa, tunataka reliable data sio za CIA,RC wala TBC pia tutajua ni nani wanastahili kupata nini kutokana na idadi yao.Inashangaza kuona hawataki kuhesabu watu kwa dini zao lakini wamepanga kuhesabu nyumba za ibada.Unajua wanalenga nini?Kuthibitisha kuwa wako wengi maana makanisa ni mengi kuliko misikiti sababu kwao mtu wa dhehebu flani hawezi kuchanganyika na wa dhehebu lingine lazima ajenge lake kitu ambacho kwa waislamu hakipo,kwa hiyo ukiyahesabu yatakuwa mengi lakini si uthibitisho kuwa wao ni wengi.
 
Wadau nimepokea SMS kutoka kwa Jamaa zangu unasomeka hive:-

Yaa"ALLAH"Natamka kwa Ulimi ninakiri kwa moyo kuwa wewe"ALLAH"ukiwa Shahidi,kua sito Shiriki zoezi la SENSA mpaka Kipengele cha "DINI" kiwemo katika "DODOSO"za "SENSA"Sitoshiriki maana huo ndio msimamo wa "WAISLAMU",na kama nitashiriki, Allah unajua nini malipo ya "WANAFIKI"Nlinde nisiwe miongoni mwa WANAFIKI,Amina! TUMA ZAID KWA WAISLAM

Wakristo nchini ktk website ya tume ya katiba ya kutoa maoni wametoa maoni kwa wingi kupinga mambo yote ya kiislam oic, mahakama ya kadhi, mapumziko siku ya ijumaa kama muislam unayeipenda din yako (ingia www.katiba.go.tz thn bofya) TOA MAONI YAKO HAPA.) sambaza sms hii kwa waislamu wengi uwezavyo.

Sasa msg kama hizi tunaenda wap jaman,lakin mi nashangaa katika kuomba ukaran hakika wameomba nao sasa hao wanaosema wagomee sensa nadhan hawajui wanapigia mbuzi gitaa Tanzania ya leo co ya dini tena
 
Naomba mnifahamishe, kwanini Pinda aliliambia bunge kuwa 99% ya wazanzibari ni waislam, aliipata wapi? na kwanini aliitumia kujibu hoja bungeni kama serikali hawana kazi nayo ??
 
Hapo ata Mimi napata wakati mgumu Kwani hata Mimi ni Islam tena safi ila katika hili la kujua waislam na wakristo wako wangapi naona mapichapicha na tamAti Yake ni mbaya Kama ikitekelezeka bora wangesema wanagomea sababu ya ufujaji wa fedha ningewaunga mikono na miguu yote. Nashauri ifanyike sensa ya waislam peke Yao kupitia misikiti ya mitaa na watapata takwimu tena zitakuwa sahihi labda zaidi ya Hii ya serikali

Wakristo nchini ktk website ya tume ya katiba ya kutoa maoni wametoa maoni kwa wingi kupinga mambo yote ya kiislam oic, mahakama ya kadhi, mapumziko siku ya ijumaa kama muislam unayeipenda din yako (ingia Tume ya Mabadiliko ya Katiba thn bofya) TOA MAONI YAKO HAPA.) sambaza sms hii kwa waislamu wengi uwezavyo.

Sasa msg kama hizi tunaenda wap jaman,lakin mi nashangaa katika kuomba ukaran hakika wameomba nao sasa hao wanaosema wagomee sensa nadhan hawajui wanapigia mbuzi gitaa Tanzania ya leo co ya dini tena
 
Back
Top Bottom