Bwaga ya moyoni
Senior Member
- Aug 21, 2012
- 147
- 76
tatizo waislam tumezoea vya bure. Tunapenda sana kupewa wakati wenzetu wana-fight wenyewe. Tunataka tufanyiwe na serikali kila kitu. Hatuwekezi akili zetu kwenye kufikiri na badala yake tunafuata mkumbo wa mashehe wa standard seven. Eti Sensa nayo imekuwa swala la dini yetu na wakati ni swala la mtu binafsi. Nafikiria mara mbili kuendelea kuwa muumini wa hii dini. najihisi kuwa the odd one