Simba Mkali
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 620
- 243
Yethuuuu.Tuambie wewe ni nani alikitoa kipengele cha dini.
Yethuuuu.Tuambie wewe ni nani alikitoa kipengele cha dini.
huu ni uzandiki na uchochezi. tena ni dharau kwa viongozi wa dini wanaowahimiza waumini wao wahesabiwe. ni dhara pia kwa rais ambaye pai ni muislamu. kwa mtu anayefikiri hasa hasa hawezi kusema hivi.Hata ukiwaelewesha hawataelewa kanisa lishaagiza kamata wote watakaogoma hv polis wako tayar kutekeleza amri hii.
Aaaah wapi.ni kau UPEPO 2 utapita utasahau pole ndio UKUBWA huo
Wapo waliopumbazika baada ya kusikia kuwa watapewa mahakama ya kadhi wakimchagua kikwete lakini siku zote nimekuwa nikishuhudia waumini wa Kiislamu wakimsema vibaya mufti kwamba ni mtu wa kutumiwa na CCM kitu kilichoharibu maisha ya watz.Si mliamua kuitumia Bakwata kuipenyeza CCM 2010
Wapo waliopumbazika baada ya kusikia kuwa watapewa mahakama ya kadhi wakimchagua kikwete lakini siku zote nimekuwa nikishuhudia waumini wa Kiislamu wakimsema vibaya mufti kwamba ni mtu wa kutumiwa na CCM kitu kilichoharibu maisha ya watz.
Kwa kusaidiana na CCM.Kuna uwezekano maisha haya magumu ya tanzania leo kusababishwa na Bakwata?