Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,001
Be it true or not,hakuna msingi wowote wa sensa kuwepo kwenye dodoso,kwani serikali haitumii dini kama hoja ya kupeleka maendeleo kwa wananchi.
JK hivi kuna kitu umeweza kukifanya ndani ya serikali yako kikapata muitikio wa kitaifa?una mkosi gani?mbona hupendwi hivi?au dawa uliyokuwa unapakaa ya kupendwa kichupa kimeisha..nenda ka renew mzee wangu hali ni mbaya sana kama hujui
Inadaiwa kuwa Makatibu kata na tarafa wa Tanga ambapo Waislamu ni wengi karibu wote ni Wakristo Wakatoliki, Dar ndio usiseme! mbona hakuna Muislamu kutoka Tanga au sehemu nyingine yoyote ya Waislamu wengi anayepewa Ukatibu kata, tarafa au udiwani au Umeya sehemu kama vile Peramiho?Be it true or not,hakuna msingi wowote wa sensa kuwepo kwenye dodoso,kwani serikali haitumii dini kama hoja ya kupeleka maendeleo kwa wananchi.
Ndiyo matokeo ya kupasishwa na NECTA hayo kwa sababu tu mtu ni Mkristo! mwisho wake ndio kuadhirika kama anavyoadhirika yule mama sasa.Huyu mama Mtakwimu alikuwa akizungumza kwa jazba jana kwenye kipindi cha TBC ndio maana hakuweza kujenga hoja zenye mashiko.Tumsamehe bure kwani huenda mataa ya Studio yalichangia kumchanganya.Akiangalia marudio ya kipindi hicho huenda akajifunza kitu. Masalaaam.
Nani kakutuma?????Harakati za Baadhi ya Waislamu kugomea kuhesabiwa zitawapa hasara zaidi kuliko faida. Inaposemwa muhesabiwe kwa ajili ya maendeleo hamkuelewa serikali kwa kutumia wingi wa watu kama kigezo cha serikali kugawa fedha za miradi ya maendeleo. Kwa mantiki hii maeneo yenye Waislamu wengi yatapata fedha kidogo kutokana na idadi yao (kwa kugoma kuhesabiwa), mwisho wa siku Waislamu watasema oooh serikali inapendelea maeneo ya Wasio Waislam. Nimepata fununu wenzetu wa mikoa ya Kaskazini wametumiana sms waende kwao wakahesabiwe huko na waseme ni wakazi kwa zaidi ya miezi mitatu hivyo itafanya fedha nyingi za maendeleo zipelekwe huko kwao. Sensa itaendelea mtabaki ooh sisi wengi wakati tayari wenzenu watakuwa na data ya kupata fedha zaidi. Eleweni maana ya Sensa kwa Maendeleo mtabaki nyuma mpaka Yesu atakaporudi, wenzenu wame take advantage.....:baby:
Hadanganyiki mtu! Mlizoea kuwahadaa Waislam, sasa wameerevuka!
Hadanganyiki mtu! Mlizoea kuwahadaa Waislam, sasa wameerevuka!