JK ni kweli kazaa na mtoto wa ROSTAM?

Major

JF-Expert Member
Dec 20, 2007
1,865
2,439
Jamani mimi niko huku ugaibuni ila kuna habari nimepewa na mtu wa karibu na familia husika kuwa majuma mawili yamepita sasa tangu jk azae na mtoto wa Rostam, vipi mlioko home, haya mambo yana ukweli?
 
duh, hapa kuna kuvuana magamba kweli? ha ha ha - kazi ipo mwaka huu.
 
Jamani mimi niko huku ugaibuni ila kuna habari nimepewa na mtu wa karibu na familia husika kuwa majuma mawili yamepita sasa tangu jk azae na mtoto wa Rostam, vipi mlioko home, haya mambo yana ukweli?
Hivi kama huna cha kuandika mpaka mpost mliyokuwa mnaanong'oneza huko mtaani. Kuna haja ya kuanzisha jukwaa kwa ajili ya majungu maana post kama hizo hazina substance.
 
hata kama kweli kazaa nae mi sioni tatizo. unless kama alibaka. presidaa muislamu, dini yake inaruhusu kuwa na wake wengi so kama kuna maridhiano kuna tatizo gani?
 
kama huyo binti ana miaka 12 uislam unaruhusu kuingiliwa, kama ni mdogo kuliko hapo basi ataende kuishi kwa JK ila atakuwa akilala na mama yake JK mpaka umri uruhusu kidini.
JK ni muislam hajafanya kosa lolote kama ni habari ni kweli
 
kama ni kweli we kama we utafanya nini? mbona mambo ya kawaida sana kuzaa naye tu au kuna lingine tueleze.
 
Jamani mimi niko huku ugaibuni ila kuna habari nimepewa na mtu wa karibu na familia husika kuwa majuma mawili yamepita sasa tangu jk azae na mtoto wa Rostam, vipi mlioko home, haya mambo yana ukweli?

kweli huko ughaibuni kuna maendeleo ya mdomo. kama umeshapewa habari na mtu wa familia husika next step nenda magogoni kamuulize Jakaya. unaweza funga safari ili umalize kiu ya udaku!!
 
Kikwete ameapa kulinda sheria za nchi na katiba ya nchi. Sheria za Tanzania msichana chini ya miaka 18 anatakiwa kuwa chini ya wazazi wake. Kama binti Rostam amekuwa na umri chini ya miaka 18 basi ni public skando. Kikwete ashikwa na kufunguwa maisha.
Mkuu wa nchi haongozi nchi kwa misingi ya uislamu bali kwa misingi ya sheria za nchi kwa kufuata katiba ya nchi.
 
Kikwete yuko South Afrika na mara kurudi huyo karuka kwenda Uganda, mke wake Salma kamwecha anacheza bao na wanaume wengine bongo, huko Kikwete ana nani anayemwandalia kitana cha kuchana nywele? Jamani mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia.
Mafisadi wanajua udhaifu wa Mkulu ulipo na hapo washamshika yameisha.
 
kumbe hata uko kuna umbea nadhani wameendelea, hata hivyo kama kazaa sio dhambi si anaongeza idadi, Huyu ni Mkuu wetu Bwana tusifike huko
 
Kikwete yuko South Afrika na mara kurudi huyo karuka kwenda Uganda, mke wake Salma kamwecha anacheza bao na wanaume wengine bongo, huko Kikwete ana nani anayemwandalia kitana cha kuchana nywele? Jamani mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia.
Mafisadi wanajua udhaifu wa Mkulu ulipo na hapo washamshika yameisha.

Nenda blog ya Michuzi utamwona Salma Kikwete alivyotulia na kucheza bao na mshikaji, jamani Ikulu ya siku hizi kuna mambo.
Waafrika ni wavumilivu na wanajua kuvumiliana, wazungu uvumilivu unawashinda ndio maana unaona hata umri usiotegemewa wanapeana talaka kama mikataba ya kuchimba madini ikiisha muda wake.
 
Hizi ni tetesi za kisiasa. Kama zina ukweli kuna sababu ya kuziponda? Kama ni kweli, kuna kuvuana magamba? Au ndo yaleyale mtu wetu asiguswe
 
Back
Top Bottom