JK names 11 new High Court judges!!!

Mama, ulilipishwa naye nini? Hata mimi hii niliisikia lakini ufisadi wake ni wa kiwango cha chini ingawa kama unavyosema ufisadi ni ufisadi ni ufisadi tu!

Jobo usimlie mtu yamini dunia hii.

Tukirudi kwenye issue yako unayosema JK ameboa kuwachagua hao majaji Soma kwenye administration of the judiciary na function za chief justice.
 
Mama, ulilipishwa naye nini? Hata mimi hii niliisikia lakini ufisadi wake ni wa kiwango cha chini ingawa kama unavyosema ufisadi ni ufisadi ni ufisadi tu!

usiseme ufisadi wa hali ya chini kwani hata wewe ulianza kutambaa baadae ukaanza kutembea na ukakua moja kwa moja mpaka leo umepuvuka.Sasa huyu alikuwa anakula rushwa kutokana na urefu wake sasa akiwa huko juu si na ufisadi utakuwa mkubwa hivyo hivyo.
 
Nililiona hili swali lakini nikachelea kutoa jibu bila kufikiria. Kwa mfano, Mahakama ya Rufani kwa sasa ina Majaji wapatao kumi na watatu. Kati ya hao waislamu ni mmoja wa kutokea Zanzibar (at least kabla ya uteuzi wa mwaka huu mwanzoni ambao data zake sina). Mahakama Kuu, ukiachilia hawa majaji walioteuliwa karibuni, idadi ya Waislamu haikuwa kubwa. Kabla ya Kikwete, kati ya Majaji 30 wa Mahakama Kuu, waislamu walikuwa siyo zaidi ya watatu. Sasa hivi idadi ya Waislamu ni kubwa na wengi wao wanawachomoa kwenye Uwakili binafsi maana hawakuwepo kwenye system ya serikali.

Mazee Jobo nadhani umekwepa kwa makusudi kabisa kujibu swali langu la msingi nililokuuliza linalosiana na vitu ambavyo umeandika huko juu hasa kwenye suala la competency na uwezo wa majaji na mahakimu waislamu na wakristo. Kwa yeyote atakayesoma post yako toka mwanzo hukulalamika sana kuwa hawa watu wanaochaguliwa ni kutoka kwenye uwakili binafsi bali wengi wao ni incompetent.
Jobo said:
Mahakama zetu zinahitaji wau competent na siyo Wanawake. Gender has absolutely nothing to do with dispensing justice. ninachokiona katika hili ni kujipendekeza kwa Rais kwa wanawake ili ionekane anawajali. Ukiangalia performance ya Wanawake katika mahakama zetu utaona ni sifuri ukiacha wachache sana. Unajaza tu namba na wale weney uwezo wa kutoa maamuzi unawaacha.

Utashangaa kuona kuwa ukiacha majaji wawili wa kike wanaotokea Mkoa wa kilimanjaro amabao wamewahi kutoa maamuzi ambayo yalitikisa serikali, wengine wote ni wasindikizaji. I think this time arround the president has made the biggest blander in his appointment kwa kuwaacha wazoefu na kukimbilia wanawake na wengine ikiwa ni katika kulinganisha idadi ya Wkristo na Waislamu! Come on... in the legal profession u cannot equate religious affiliation. Ninaamini kuwa Nyangalika na Mruke wameteuliwa kwa misingi hiyo!

Na nikakuuliza kutokana na Mahakama zetu karibu zote kuwa Mbovu, Corrupt, Zinanuka kwa hiyo kutokana na analogy yako basi asilimia kubwa ya majaji na mahakimu wakristo ni incompent, corrupt and they stink?
 
Mkuu hapo sijakupata kabisa unamaanisha nn hapo??

Ninamaana kuwa sikubaliani na wale wanaotetea uteuzi wa majaji wengi wa kike kwa sababu eti wao siyo mafisadi! Tukianza kuanika ufisadi wa viongozi wa kike hakuna wa kusalimika. Ukianza na mawazili, nitajie hata mmoja ambaye hana scandal ya kifisadi. Megji, Migiro, Nagu, Sitta, Mhita nk. wote wana maovu yao ambayo si madogo!
 
Jobo usimlie mtu yamini dunia hii.

Tukirudi kwenye issue yako unayosema JK ameboa kuwachagua hao majaji Soma kwenye administration of the judiciary na function za chief justice.

Kwa hiyo sheria inaruhusu upendeleo?
 
Geeque, hao wawili uliobold wote wanatoka kwenye uwakili binafsi na ni dini moja
 
Geeque, hao wawili uliobold wote wanatoka kwenye uwakili binafsi na ni dini moja

Dini has nothing to do with someone's competence or intelligence or does it?? Kwani mtu kuwa kwenye uwakili binafsi kunamaanisha ni failure na pia ni incompent??
 
Kwa hiyo sheria inaruhusu upendeleo?

wewe hiyo doc uliiweka ya nini? hukutaka kuonyesha kuwa JK anapendelea katika uteuzi wa majaji na ukawataja majina waliopendelewa? Ni hisia zako tu hapo zinakuongoza, inawezekana unawajua hao watu na ulikuwa ukifikiri kuwa you are better than them but things turned up unexpected. Uteuzi wa majaji haujaanza leo na marais wote walishateua majaji, je na marais waliopita walipitisha uteuzi wa majaji incompetent implying that majaji tulionao sasa ni incompetent leave alone being favoured in terms of religion and gender?
 
Geeque, hao wawili uliobold wote wanatoka kwenye uwakili binafsi na ni dini moja

Jobo na hao wengine sio dini moja? kwanini katika ya majaji 11 wawili tu ndio watoke dini moja na kwa nini 9 watoke dini nyingine, je JK anaipendelea hiyo dini nyingine?
 
.

Utashangaa kuona kuwa ukiacha majaji wawili wa kike wanaotokea Mkoa wa kilimanjaro amabao wamewahi kutoa maamuzi ambayo yalitikisa serikali, wengine wote ni wasindikizaji. I think this time arround the president has made the biggest blander in his appointment kwa kuwaacha wazoefu na kukimbilia wanawake na wengine ikiwa ni katika kulinganisha idadi ya Wkristo na Waislamu! Come on... in the legal profession u cannot equate religious affiliation. Ninaamini kuwa Nyangalika na Mruke wameteuliwa kwa misingi hiyo!

Hebu jitizame mkuu, kauli zako hizi ni hatari! Lile jinamizi la ukabila na udini limekukaba koo hasa!

Hao majaji wawili wa kike uliozungumzia, umeona umuhimu gani kutaja kuwa wanatokea mkoa wa Kilimanjaro? Hii inawaongezea sifa gani? Kama ni kuwaelezea tu, mbona hujatuambia pia kuwa ni warefu, wanene, wameolewa au la, ama walikosomea nk? Mbaguzi sana wewe!

Na hiyo habari kuwa rais analinganisha idadi ya majaji "wakristo na waislamu" umeipata wapi, ni utafiti ama ni mawazo au "hofu" yako tu? Hivi "ukristo" au "uislamu" unapimwaje? Umeona nini hapo kwenye uteuzi kilichoashiria kuwa hapa ni dini ndiyo iliyotumika kama kigezo? Umewataja kabisa Nyangarika na Muruke, pengine unawafahamu, hebu tujulishe ni jambo gani linalowafanya hawa wawe hawakustahili uteuzi huo? Mbona unataka kumtia huyu rais mtegoni, unataka kila anapoona mtu anayefaa uteuzi amwache kwa kuwa tu ana dalili za hiyo dini usiyoipenda? Kutakuwa na amani kweli kwa mwendo huu? Mtu akishika dini usiyoipenda wewe basi hafai kuteuliwa kuwa jaji? Hebu wacha ubaguzi wa kipuuzi!
 
Mahakama zetu zinahitaji wau competent na siyo Wanawake. Gender has absolutely nothing to do with dispensing justice. ninachokiona katika hili ni kujipendekeza kwa Rais kwa wanawake ili ionekane anawajali. Ukiangalia performance ya Wanawake katika mahakama zetu utaona ni sifuri ukiacha wachache sana. Unajaza tu namba na wale weney uwezo wa kutoa maamuzi unawaacha.

Utashangaa kuona kuwa ukiacha majaji wawili wa kike wanaotokea Mkoa wa kilimanjaro amabao wamewahi kutoa maamuzi ambayo yalitikisa serikali, wengine wote ni wasindikizaji. I think this time arround the president has made the biggest blander in his appointment kwa kuwaacha wazoefu na kukimbilia wanawake na wengine ikiwa ni katika kulinganisha idadi ya Wkristo na Waislamu! Come on... in the legal profession u cannot equate religious affiliation. Ninaamini kuwa Nyangalika na Mruke wameteuliwa kwa misingi hiyo!

Niliona nisikujibu..lakini baada ya kutafakari nikaona hustahili kukaushiwa. Ulichoandika si tu kina kudhalilisha na uwezo wako wa upembuzi yakinifu..ila kina taka kunipa wasiwasi kama mheshimiwa Raisi ulitegemea akuteue wewe au mzee wako.

Kifupi unataka kujenga misingi mibovu ya chuki za kidini..hivi wewe unakereka kisa tu ameteuliwa Rehema na Kassim kuwa Majaji..huu lazima utakuwa ni wenda wazimu usio na mipaka. Yaani Godfrey, John, Andrew, Charles, Robin,Jacob, Alex,....,.hawa tu ndo wanastahiki kuteuliwa kuwa Majaji na kama Benjamini aliwateuwa wawe Majaji ni sawa laki ikitokea hata kama Ali,Omari,Juma,Athumani wasiteuliwe na Jakaya Mrisho kisa tu anataka kuleta uliyoiita religious affiliation..ama kweli wewe ni zaidi ya yuel balahau.

Kwa faida tu Raisi uwa anachofanya ni formalities tu katika uteuzi...kazi zoote zinafanywa na hao wasaidizi na washauri wake ambao wengi wake ndo hao kina, Augustine(Ramadhan), Katibu mkuu wake (mmisheni), mwanasheria wake (John)...
 
Jobo,Kithuku,Geeque,Mama,Kingwele,

..nadhani Raisi anapofanya uteuzi nje ya taratibu za kawaida, basi mara nyingi uteuzi huo ni wake mwenyewe. hapa nazungumzia uteuzi kama wa wanasiasa kuwa mabalozi, au wakili binafsi kuwa hakimu etc etc.

..kwa mtizamo wangu, kazi ya Uhakimu Tanzania ni kama kazi ya wito. Vilevile wengi wa wanasheria binafsi wanasukumwa na faida ya fedha, kuliko haki na utawala wa sheria.

..ninachotaka kuuliza ni kama kuna mtu yeyote yule ktk mjadala huu anawajua hawa Mahakimu walioteuliwa toka kwenye Uwakili binafsi. Je, kuna yeyote anafahamu aina za kesi na wateja ambao wamekuwa wakichukua? tukifahamu hilo tutaweza kuelewa kama hawa wako kulichowasukuma kwenye taaluma ya sheria ni fedha, au tunajenga jamii ambayo unaongozwa na haki na utawala wa sheria.
 
amir mruma hata hajui kuandika judgment mimi naungana na JOBO. kingereza chake utaona aibu. maajabu wamemhamisha mahakama kuu sasa wamempeleka Commercial Division. mimi sio mdini lakini sioni vigezo vya kumteua mtu huyu na mwenzie massati bila kusahau nyangarika kassim bure kabisa
 
Mkuu Jobo
endelea kutuhabarisha kuhusu judiciary system yetu, inaelekea unaielewa vema tu kuliko wengi wetu hapa.
Ila inapowezekana tuwekee na statistics.
 
Mkuu Jobo
endelea kutuhabarisha kuhusu judiciary system yetu, inaelekea unaielewa vema tu kuliko wengi wetu hapa.
Ila inapowezekana tuwekee na statistics.

Mfuatiliaji, nitaendelea kusema yale ninayoyafahamu kuhusu mwenendo katika mahakama zetu na teuzi za Majaji. Tatizo kubwa ninaloliona katika wachangiaji wa mada hii, ni mashambulizi ambayo hayana sababu. Kilichoanzisha mjadala huu ni pongezi za Jakaya kuteua wanawake saba kuwa majaji kati ya kumi na moja. Statistically hii ni ratio ya mwanaume mmoja kwa wanawake wawili. Nikaangalia composition na mahali wanakotoka mawakili hawa nikagundua kuwa kuna tatizo. Ambao hawafuatilii utendaji wa mahakama zetu ni vigumu kuelewa ninachokisema. Katika Majaji walioteuliwa kutoka katika uwakili binafsi kwa miaka ya karibuni(ninawajua wanane), mmoja tu ndio Mkristo. Hili wenzangu wanaona siyo tatizo, lakini it is a fact we need to look at. Hivi ni kweli kuwa katika mawakili wa kujitegemea wenye uwezo wa kuwa majaji ni waislamu tu? tena huyo Mkristo aliyeteuliwa alikuwa akifanya kazi mahakamani kwa muda mrefu na akafikia kuwa Msajili LART. Naomba wale wanaonishambulia watoe wasifu wa hao walioteuliwa na uwezo wao. Mifano niliyotoa haikuwa kwa nia mbaya, ni kwa ajili ya konyesha tu wale ambao kwa kipindi hiki wametoka kwenye Private practice.
 
jobo acha mambo yako, hivi kama huna la kusema au kuchangia si unyamaze?

wewe unataka kuleta udini katika mada hii? kama unawajua ni si competent tuchambue bila ya kutumia hisia za kidini

wewe bogus sana umenikera kweli, hivi watanzania tutaacha lini laana ii ya upuuzi?

Mkuu wa Pwani yameingia mtu akiandika mambo fulani heee .Hivi ndiyo huwa tunakuomba siku zote kwamba huwa unamwaga upupu na kukuomb aupishe kikombe sawa na unavyo muomba mkuu hapo.Huwa una tuudhi sana .
 
Wanawake hawako katika list of shame lakini facilitotors wazuri wa ufisadi.Mama Kejo si dume yule .Na nina wasi wasi na teuzi hizi na yatakpo kuja maswali yenye maslahi kwa Taifa baadaye .Je wataweza kuwatosa washikaji wa JK ?
 
Ni makosa watu kusema wanawake siyo mafisadi, kwani ufisadi ni mpaka EPA, Richmond au Buzwagi? Wanawake ni mafisadi katika nyanja nyingi. Wengine wanatumia uzuri wao kupata vyeo, safari na manufaa mengine kwani huo siyo ufisadi?
 
Last edited:
Of course, huo uteuzi ukiangalia ni kwamba uko obviously biased (skewed towards gender). Principles za normal distribution haziwezi kukupeleka kwenye hiyo ratio under natural conditions.
Nadhani tuna haki ya kuelezwa sababu za bias ili turidhike..by the way, ujaji ni very sensitive professional post.
Endelea mkuu Jobo kutuhabarisha wala usikwazike ukutanapo na milima na mabonde.
 
Back
Top Bottom