JK na watu wake ..mmeshindwa kutumia hata projector?

JK na watu wake ..mmeshindwa kutumia hata projector?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,030
Reaction score
59,682
local ways
0L7C0234.jpg
 
Wamefungua jukwaa la siasa JF...nadhani hapo ni Singida maana naona nyuso nyingi za wanaSingida akiwemo na mkuu wa Wilaya.
 
Sidhani kama wapo wanajua hapo PROJECTOR ni kidude gani?!
 
Kwa mtindo huu inawezekana JK huwa anaingia JF aisee, Baba Rizwan kama unaingia na unanisoma hapa tafadhali usijenge bomba la gesi kutoka Mtwara kuja Dar please na ungecheki cheki kuhusu mambo ya udini mkuu, yanavuruga amani, asante yangu ni hayo tu
 
Najua tu wanangalia mishale ya TAMKO , JF.. Halafu watu wanamchekea, Hapana mwambieni ukweli , waziwazi kabisa Kwamba suala la Muungano ni Janga la kitaifa Lazima Liongelewe kwanza..
 
Last edited by a moderator:
Taarifa za kiintelijinsia zinasema walikuwa "wanahakiki" DVD ya mwigulu kuhusu viongozi wa CHADEMA kuandaa mauwaji
 
Back
Top Bottom