mimi nafikiri walikuwa wanaangalia picha za kikubwa! maana unaona wanavyojisikilizia!Na wote wanachekelea..........sijui jamaa kawafungulia nini.......au ndio kujipendekeza?
yap ndo kazi yake hiyo na tunamkubali xanaanawaonesha jinsi serikali inavyotekeleza ilani ya ya chama,mafanikio na changamoto.
acha matusi utalamba banBwana mkumbo amebana miguu,wanaangalia redtube
www.drtuber.com
wanafiki wote ndivyo wanavyokua kaka.Huyo Mwigulu hana mavazi mengine zaidi ya hayo?
na huyo mhindi anafanya nini ikulu kwetu akitoka hapihalipi kodi na pengine ni laptop yake.
Sio projector hata basi wangerumia LCD ya inchi 21 wangeunganisha kwa waya wa HDMI hadi kwenye tundu la HDMI kwenye TV,badala ya wote kuundikana kwenye hiyo Acerlocal ways
![]()
Halafu naona ''tantan''mezaniJK anacheza gemu la ZUMA kudadeki, anakipaji ile mbaya