JK na Uungwana wake kwa Ugeni wa Chadema Ikulu

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050
..Naona JK kaamua kusimamia mwenyewe zoezi la Ugawaji Chai na Juice huku wasaidizi wake wanamuangalia.

CDM7.jpg

CDM5.jpg

CDM6.jpg
 
Wasi wasi tu na kutaka kuji normalise na kutafuta huruma ya jamaa. Hivi Dr. Slaa alienda?
 
.......kiukweli nina wasiwasi na strength ya hii team minus dr slaa, minus zitto.

Kwa mtazamo wangu hii team ni nzuri na imekuwa na mkusanyiko Mzuri wa Wanataaluma na Wanasiasa Mahiri. Tayari kuna Mwenyekiti wa Chama so it was not that important kuwa na Katibu pia. Zitto amerejea kutoka kwenye upasuaji mkubwa hivi karibuni, upasuaji uliohusisha tatizo ambalo pamoja na mambo mengine hali ilikuwa mbaya anapokuwa kwenye kazi zinazohitaji 'concentration' kubwa na kumnyima muda mzuri wa kupumzika so bado anahitaji muda wa kurecover. Timu hii ina 'Maprofessor' wawili ambao wamebobea kwenye mambo ya kisiasa, Lissu, Mnyika.. I believe watafanya kile kinachotegemewa na wengi kwa maslahi ya Taifa.
 
Safari,Balegu,Lissu watakuwa wamecomplement absence ya Zito na Slaa
 
Wasi wasi tu na kutaka kuji normalise na kutafuta huruma ya jamaa. Hivi Dr. Slaa alienda?

Huyo dr wenu size yake ni mukama....kwani mukama umemuona hapo??????yeye na mukama wataalikana lumumba sio ikulu,ikulu ni mahali patakatifu lazima uwe na doa halali au la uwe mseja!
 
Nawatakia kila la kheri. Cha msingi ni mwafaka wa kitaifa

Ila wanachozungumza kiwe wazi wasituletee mambo ya ccm-zanzibar enzi za karume na maalimu seif na cuf "yake"walikua wanakutana hivi hivi ikulu ya zenj wananchi wakiuliza mnazungumza nini wanadai ni siri matokeo ya siri maalimu seif kuingizwa serikali na kuifanya zanzibar kuwa nchi ya chama kimoja,hakuna upinzani wa kuihoji serikali tena!
 
nimefarijika sana na hii move..inaonyesha maturity ya hali ya juu sana wa jk na team ya chadema...
 
Kwa mtazamo wangu hii team ni nzuri na imekuwa na mkusanyiko Mzuri wa Wanataaluma na Wanasiasa Mahiri. Tayari kuna Mwenyekiti wa Chama so it was not that important kuwa na Katibu pia. Zitto amerejea kutoka kwenye upasuaji mkubwa hivi karibuni, upasuaji uliohusisha tatizo ambalo pamoja na mambo mengine hali ilikuwa mbaya anapokuwa kwenye kazi zinazohitaji 'concentration' kubwa na kumnyima muda mzuri wa kupumzika so bado anahitaji muda wa kurecover. Timu hii ina 'Maprofessor' wawili ambao wamebobea kwenye mambo ya kisiasa, Lissu, Mnyika.. I believe watafanya kile kinachotegemewa na wengi kwa maslahi ya Taifa.
mkuu umemsahau mh.said amour arfi mbunge wa mpanda mjini mkoani katavi,ambae ni makamo wa mwenyekiti wa chadema taifa huyu ni mzoefu wa siasa na msomi wa dini ya kiislam napia msomi wakidunia ana hekima sana,jk akileta maandiko au aya ktk kurani atawekwa sawa na arfi,ikumbukwe arfi ni imamu wa msikiti wa ibaadhi kule mpanda maeneo ya madukani,hapao naweza sema arfi ni twanga kotekote,jk akienda kwenye dini arfi yupo,akienda ktk siasa arfi kinara.
 
Huyu ndio jakaya mtu wa watu niliyekuwa namfahamu mimi kabla hajaingia ikulu....sijui alipoingia ikulu alikumbwa na nini yarabi muungwana huyu na kuacha utu wake aliolelewa na kukulia nao!leo angalau kanikumbusha asili ya nick name yake ya "muungwana"ilikotokea....
 
Ila wanachozungumza kiwe wazi wasituletee mambo ya ccm-zanzibar enzi za karume na maalimu seif na cuf "yake"walikua wanakutana hivi hivi ikulu ya zenj wananchi wakiuliza mnazungumza nini wanadai ni siri matokeo ya siri maalimu seif kuingizwa serikali na kuifanya zanzibar kuwa nchi ya chama kimoja,hakuna upinzani wa kuihoji serikali tena!
hapo umena mkuu,zenj upinzani umebaki jina hata bendera za cuf zikipauka siku hizi hazibadilishwi,mfano ni ajali yameli mv spice cuf wangekua hawako serikalini zenj isingekalika,waliokufa wote ni wapigakura wa cuf,kungekua na maandamano ya vurugu sikuzote kuwataka wahusika wawajibike,lakin leo waziri wa mawasiliano na uchukuzi ni wa cuf basi amekaa kimya hakuna kujiuzulu wala nini,nae anataka ulaji wake uendelee. Ama kweli zenj upinzani umekufa.
 
ndio mana zitto na dr slaa kwa kuwa sio watakatifu hususan kwenye masuala ya ndoa hawajaenda!
Mungu aliumba wajinga, wezi, wapumbavu, waungwana, wachafu wasafi nk nk, akawaweka duniani waishi pamoja hatuwezi kujitenga nao...
 
Back
Top Bottom