JK na Urais

Nambie ndugu yangu. Nilikutag maksudi nikijua unaweza kua na hints.

Hah hah! Makusudi?! Anyway its long time!

Ngoja sasa nishuke verses!

Mimi nataka iwe hivi J K Mwali!!! Maana yake hapo umeshaupta u president kulingana na Theory yako. Yaani jina likianza na JK that means Prezdaa!!Lol Nafikiri hata The Boss itamvutia kuona another JKM

Ikiwa na maana AJ nakuja Ikulu nasema nataka kumuona President J K Mwali!! Najua wataniambaia Nimuone PM wako sina shaka atakuwa AshaDii, sitakubali , will want to see you maana this time lazima tumalizane!!

.. Nitakuuliza Mh JK Mwali why didnt you answer my PM wakati tukiwa bado wote kule JF!! Hah hah!! Nitasubiri jibu kwa hamu ...!!!
 
Back
Top Bottom