Wewe mbona uliishia darasa la saba hatusemi ? Badala ya kuandika 'freedom' unaandika 'fredom' kweli mwalimu wako wa kiingereza ndivyo alikufundisha hivyo ? rudi shule tafadhali elimu ya watu wazima
Ninachoomba kuuliza ndugu zangu ni je, kwa nini udaktari wa heshima wa JK umevuma kiasi hicho????? Au udaktari wa heshima una ranking yake kwa maana kwamba aliopewa JK ulikuwa mzito au wa juu zaidi?? Au ni mojawapo ya mbinu za kisiasa za kumpropagate kiongozi???? Tafadhali wajuzi wa mambo mnifahamishe.
uache jazba wewe huo udokta aliopewa Kikwete amepewa na chuo ambacho hakiko accredited sio... na pia huo udaktari wa Kawawa (post humously) unatoka wapi wakati hakuwa hata na diploma... watu wasio na akili bwana... kabalaghabaoKwa sababu watu wenye roho korosho na roho mbaya zilizojaa husda, wivu na gere kama wewe na wengine wengi kama wewe walikuwa ima hawapo kwa wingi kama mlivyo sasa AMA walikuwa wamezibwa midomo yao. Wakati wa utawala wa Nyerere wewe na familia yako nzima mngeishia kunyia kwenye kopo.
Hiyo ni heshima aliyopewa na Chuo Kikuu kilichompa hiyo degree ya heshima. Sasa kama wewe inakukera sana basi una options mbili. Moja ni kukaa kimya a.k.a. kufunga domo lako. Option ya pili ni kutafuta kamba na kujinyonga! First option inahitaji uvumilivu na kama ulivyoonyesha kuwa huna uvumilivu basi option ya pili ni best option for you! Make sure unaandika good suicide note ili ufikishe ujumbe kwa watu wengi kisa na sababu kilichokufanya uchague option ya pili. Best wishes!
Alimaliza degree ya economics akaenda kufanya kazi za katibu mwenezi wa chama hamuoni utata hapo?
Kwa sababu watu wenye roho korosho na roho mbaya zilizojaa husda, wivu na gere kama wewe na wengine wengi kama wewe walikuwa ima hawapo kwa wingi kama mlivyo sasa AMA walikuwa wamezibwa midomo yao. Wakati wa utawala wa Nyerere wewe na familia yako nzima mngeishia kunyia kwenye kopo.

Umevuma sana kwa sababu wchumia juani wameshajua kwamba kikwete anapenda kusifiwa!. kwa wale wa kujipendekeza hawaishi kujikomba kwa kumwita dokta!
I can smell a rat.....aidha "chema chajiuza, kibaya chajitembeza"
Pamoja na kukitumia 'lugha ya ******', kama ulivyolelewa, bado hujajibu swali lakini nashukuru watu walioenda shule angalau wamezima kiu yangu. Ukweli ni kuwa kumwita mtu dokta (wa heshima) kwa kasi, ari na nguvu zaidi kuliko dokta wa kweli (academic) kuna sababu kuu mbili. Moja ni ulimbukeni na pili ni propaganda ya kuwaghiribu wananchi wasiojua tofauti ya udokta wa heshima na udokta wa darasani/taaluma.
Ukipata nafasi fika UDOM nawe upewe udokta wa lugha chafu. Wenye vichwa vinavyohitaji marekebisho/ukarabati, kama wewe watakuita Dr. kudadeki ili nawe ukenue meno na kufurahi kama chizi aliyeona jalala.
Alimaliza degree ya economics akaenda kufanya kazi za katibu mwenezi wa chama hamuoni utata hapo?
uache jazba wewe huo udokta aliopewa Kikwete amepewa na chuo ambacho hakiko accredited sio... na pia huo udaktari wa Kawawa (post humously) unatoka wapi wakati hakuwa hata na diploma... watu wasio na akili bwana... kabalaghabao