JK na Dogo Janja

JK na Dogo Janja

Kivumah

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,427
Reaction score
1,060
This is our President we all know

attachment.php
 

Attachments

  • jk na dogo.jpg
    jk na dogo.jpg
    23.4 KB · Views: 1,796
Ama kweli uprezidaa hauna shule...unajifanyia mambo tu upendavyo! DUH
 
Huyo Dogo Janja ni msanii tu wa Kizazi kipya (Bongo Fleva) kutoka Arusha. nae kaingia IKULU, mahali ambapo Mwl Nyerere aliwahi kutamka kuwa ni PATAKATIFU.
 
.....hata huyo Afisa Usalama nyuma yao anabaki kushaangaa What is happening here.....
 
Jana nimetumia km dak 15 kuiangalia na kuitafakari hy avator!! Afu jamaa amepiga box kuna kitu kinafanyiwa mazoezi, lazima!!
 
Kikwete ni mtu wa watu...hapo anachukua ujanja from Dogo Janja...
 
Wote ma-check bob, hebu chek vzr utagundua, mpiga picha angechelewa kidogo tu wangeweka Tano kuashiria zaidi wao ni kizazi kipya! Prezd tunae mbona!!
 
Kikwete ni Rais wa Watanzania wote, si Rais wa wanaojua kubadilisha suti tu. Hiyo picha sioni kama ina cha kuwashangaza watu hadi kuanzishwa mjadala.
 
Back
Top Bottom