JK na Dogo Janja

JK na Dogo Janja

Dogo Janja akiwa kazini....

2.jpg

nafikiria kustaafu
 
Ama kweli uprezidaa hauna shule...unajifanyia mambo tu upendavyo! DUH

Inkoskaz hututendei haki wAungwana.....RUDISHA AVATAR YAKO KABLA SIJAKUTUKANA UNIRUDISHIE ILI TUPIGWE WOTE BAN
 
nafikiria kustaafu

Hahahaa...niambie rafiki yangu DJ (Ila naamini sio Dogo Janja)...

Usiache bana...nlitarajia na wewe utaenda ikulu kumpelekea Rais ujumbe wa Ma-DJ kuwa mmemiss sana siku hizi
 
Hahahaa...niambie rafiki yangu DJ (Ila naamini sio Dogo Janja)...

Usiache bana...nlitarajia na wewe utaenda ikulu kumpelekea Rais ujumbe wa Ma-DJ kuwa mmemiss sana siku hizi

niko mukide braza
sie ni silent entertainers behind denons
 
Jamani mimi hapa ndipo ninapochoka........ inkos.gif

halafu tena hivi.......... joy.gif

Jamani mnatuua na hizi avatar zenu duuhhh!!! Joy na Inkoskaz banaa....
.
 
Back
Top Bottom