mmmmhhhh!!! hivi jamaa kajisahau kwamba ana waziri wa mambo ya nchi za nje?
Ben was very right.
Mrisho made a good minister for foreign affairs. Worst enough, he is still thinking ni waziri wa mambo ya nje, as of today we have two of them. Raisi tumchague 2010, in reality this position is vacant.
I have lost my president.
Mi nafikiri JK anafikiri bado ni waziri wa mambo ya nje. Kuna maswali memngi najiuliza kila siku, 1. Kwanni safari za Arusha ni nyingi sana kwa mheshimiwa?. 2. Kuirusha ndege kwenda arusha and back to dar inagharimu kiasi gani, tukipata estimate itatusaidia kujua ni kiasi gani kinagharimu kurusha ndege mpaka USA,Itally, NK, 3.Kuna tetesi kuwa pres - jet haiwezi lala KIA, mwanza, nk.Je tetesi hizi ni kweli?
Swali gumu zaidi kujibu ni muda gani mheshimiwa anakuwepo S/House kwa ajili ya kufikiria na kutatua matatizo ya wananchi.
hivi baadhi ya hivi vimikutano vya nje, Dr. Shein hawezi kuwakilisha?
mmmmhhhh!!! hivi jamaa kajisahau kwamba ana waziri wa mambo ya nchi za nje?
Hata mimi nashangaa! Sijajua Waziri Benard Membe na mabalozi wetu waliotapakaa kila pembe ya dunia wanafanya kazi gani, kama raisi anafanya kazi yao. Kwa kweli Mkapa alikuwa clever sana kumteua huyu jamaa kuwa waziri wa mambo ya nje, kiasi kwamba mpaka leo hataki kuuachia wadhifa huo kwa wasaidizi wake.
Hivi Kazi ya Dr Ali Mohamed Shein ni ipi? Kuzindua miradi na kutokomea? Kuzindua na kufunga makongamano? ama kumwakilisha raisi katika mikutano kama hii?
Sishangai kusikia raisi anasema kuwa hajui kwa nini Tanzania ni masikini hadi leo, atajuaje umasikini wa Watanzania wakati anaishi nje ya nchi? Huyu haishi Tanzania, kwa hiyo umasikini wa Tanzania haumhusu hata chembe!
Mungu Ibariki Tanzania.
hivi baadhi ya hivi vimikutano vya nje, Dr. Shein hawezi kuwakilisha?
Dr Shein kazi yake kufungua/kufunga matamasha na miradi... na kutembelea bucha za nyama akiwa na bonge la mkasi....
Jamani yule mwenye picha ya Shein akiwa kwenye bucha vipi akiiweka hapa leo ili ingawa sio friday mashabiki wa TO tukaugulia kipigo cha jana toka kwa Randy Moss.....
Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein akiangalia nyama katika moja ya maduka ya kuuzia kitoweo hicho cha Ng'ombe lililopo katika soko la Buguruni jijini Dar es Salaam Septemba 17, 2007. Dk Shei yupo katika ziara ya siku tatu kukagua hali ya vyakula na bei katika masoko jijini humo.
Picha kwa hisani ya Father Kidevu