Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,502
- 113,612
Naomba niji quote..mkuu Pasco naona kazi ya "kumpa kikwete" awamu ya pili mmeimaliza. Hongera zenu.
What's next?
Kwa nini mnataka sasa Dr Slaa awepo kesho?
Wanabodi,
Dr. Slaa anatakiwa sana awepo. Mlio karibu nae, mshaurini asisusie, kweli asisaini kuyakubali matokeo, lakini awepo mahali hapo kuwasilisha live protest yake kwa wahusika for the sake of umoja wa kitaifa.
Naomba niji quote..
asipokuwepo nitashangaa kweli na nitamwona hafai kuwa kiongozi!kwa hayo majimbo matatu aliyolalamika ameibiwa kura hata akipewa kura zote bado hashindi tu!
Mwafrika, kama Seif ameweza kukubali, why not Dr. Slaa.Hiyo live protest ataifanya vipi?
Umoja wa kitaifa wakati mafisadi wakianzisha utawala wa kidikteta Tanzania?
Pasco, uko serious?
Mwafrika, kama Seif ameweza kukubali, why not Dr. Slaa.
Sherehe ya kesho kutangaza matokeo, washindwa wanapewa fursa ya kuongea, ndipo mshindi anatoa hotuba ya shukrani, Dr anatakiwa aitumie chance hii kutoa dukuduku lake.
asipokuwepo nitashangaa kweli na nitamwona hafai kuwa kiongozi!kwa hayo majimbo matatu aliyolalamika ameibiwa kura hata akipewa kura zote bado hashindi tu!
Alfa lela ulela,ama pia ni sawa na hamnazo tu,i mean whatever you're suggesting doesn't make no sense at all....Hapo si pahala pake unless you're referring to "ze comedy"Mwafrika, kama Seif ameweza kukubali, why not Dr. Slaa.
Sherehe ya kesho kutangaza matokeo, washindwa wanapewa fursa ya kuongea, ndipo mshindi anatoa hotuba ya shukrani, Dr anatakiwa aitumie chance hii kutoa dukuduku lake.
Kama mlijua hawezi kushinda kwa hayo majimbo matatu mbona mmeiba????
Pasco usitake kutufanya hatuna kumbukumbu anakumbuka Seif 1995 na 2000 aliwahi si kususa tu kununa kwa miaka minne yeye pamoja na wawakilishi wake.Mwafrika, kama Seif ameweza kukubali, why not Dr. Slaa.
Sherehe ya kesho kutangaza matokeo, washindwa wanapewa fursa ya kuongea, ndipo mshindi anatoa hotuba ya shukrani, Dr anatakiwa aitumie chance hii kutoa dukuduku lake.
Mwafrika ungejua unaongea na sumu...........mkuu Pasco naona kazi ya "kumpa kikwete" awamu ya pili mmeimaliza. Hongera zenu.
What's next?
Kwa nini mnataka sasa Dr Slaa awepo kesho?