JK, Katuni 1=Maneno 1000,Watch Out

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,104
6,036
Nimeiangalia sana hii katuni, imeleta ujumbe mkali sana kwa serikali ya JK, hiyo shuka ya mgonjwa ina tafsiri nyingi sana, zinazotukumbusha kipindi cha uchaguzi kwamba vitu vya kuhongwa like khanga , kofia, t-shirts , shuka nk ndizo zinazotuzika sisi kama sisi na pia serikali iliyo madarakani...

Endeleeni utoa tafasiri zaidi ya maneno 1000. Watch Out J.K


 
Wanainchi tuna hasara sana serikali iliyopo madarakani.
Tena hasara kubwa sana!!!!!!!!!
 
Sikio la kufa halisikii dawa!....Njia ya huyo mgonjwa imenyooka kabisa, ndiyo safari hivyo ati!


Yametimia, JK is weak and scared to give concrete desicive action. He is scared to die.
 
Teh teh.
Kianya mbunifu sana.
Ni kweli mgonjwa atakufa
 
As said, sikio la kufa....., aanze tu kuanduka wosia.
 
Yametimia, JK is weak and scared to give concrete desicive action. He is scared to die.


Mkuu umesahau eeeh! Nanukuu, " I might be wearing a smiling face, but I am firm on serious matters". Mwaka wa saba sasa bado tunasubiri kuuona huo ujasiri kwenye serious issues!!
 
Ukiona mtu anatumia zaidi nguvu ya mamlaka ni dhahiri hana uwezo wa kujenga hoja ya utetezi na lengo ni kuzima nguvu ya hoja kwa kutumia hoja ya nguvu.
 


@Paka Jimmy,
hii ndio falsafa yangu;

"Ukiona mtu mzima anatumia zaidi nguvu ya mamlaka na mabavu ni dhahiri hana uwezo wa kujenga hoja ya utetezi na lengo ni kuzima nguvu ya hoja kwa kutumia hoja ya nguvu."
 
Na hii ni furaha au huzuni yakutimiza miaka 35 ya chama chao? muone huyo mama wa kwanza kutoka kushaoto halafu niambie!
 
Katika kuazimisha miaka 35 ya chama chao je huyo mama kutoka kushoto anafurahia au anahuzunika?

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…