JK kaacha kishindo Dar?

Hii njemba kama kweli imestaafishwa basi ni uamuzi mzuri maana ilikuwa inafanya matanuzi kwa pesa za walipa kodi kwa fujo sana. Hivi karibuni alifanya kufuru katika harusi ya binti yake.

 
Ama kweli katika marais wanaoendekeza urafiki mkwere amevuka kipimo. Yeye hajali jamii inamfikiriaje mtu anayemteua. Anachojali yeye ni urafiki wake na huyo mtu. Yaani maslahi mtu ndiyo yanayozingatiwa zaidi na ya nchi ni baadaye au yanaweza yasiwepo kabisa.
 
Wazalendo tufanye kazi! Threads ambazo zimejaa msamiati wa:
Inaaminika, inakisiwa, kuna tetesi, kutoka chanzo cha kuaminika, ilisikika na hata kichwa cha habari "....... kaacha kishindo" ni aina ya uandishi unaojengwa na misingi mikubwa miwili:

1. Kujadili mambo mepesi ya maisha ya watu binafsi
2. Kuibua mihimuko na hisia za watu (sensationalism)
 

Just a reminder, my post said it all jana see quotes.

Lets not ruin this forum, one of the key values of this forum is

"The home of great thinkers" but very few are living this value.

Come on people, lets keep that spirit.
 
Kishindo gani hicho ambacho ni embargoed? Bila shaka kinatokana na uvumi wa kuvunjika kwa ndoa yake na mafisadi
 
Kishindo gani hicho ambacho ni embargoed? Bila shaka kinatokana na uvumi wa kuvunjika kwa ndoa yake na mafisadi

....labda kishindo cha kushindwa kutatua matatizo yanayotukabili,,,,kashindwa kwa kishindo!
 
Mh!mkuu huyu Othman Rashid alikuwa ni nani na amefanya kosa gani ?
 
Kishindo gani hicho ambacho ni embargoed? Bila shaka kinatokana na uvumi wa kuvunjika kwa ndoa yake na mafisadi
Mkuu tupe vizuri hiyo ya kuvunjika kwa ndoa yake na mafisadi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…