JK is the best president | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK is the best president

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NOT ENOUGH, Jun 25, 2011.

 1. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kuna aina nyingi sana za uongozi/management style ila hii ya JK nimeipenda sana. Nashauri ma CEO wa makampuni waitumie.And serious if you want your organization to be successfull then apply this one. JK ameweza kuwa frustrate watanzania na kila right yao wakaiona ni favor. Mfano Umeme usipokatika utasikia watu wanasema he leo vipi, maji hivyo hivyo, mafuta yakishuka bei hata shs 50 sherehe, sukari ikipatikana kwa urahisi watu wanasheherekea. Itafika sehemu hata mshahara watanzania wataona ni favor pia.
   
 2. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2011
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Well said....
   
 3. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Not enough what you have said is enough.
   
 4. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hatumpendi, tumemchoka.
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  kweli aiseee!
   
 6. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Napita tu hapa ntarudi baadae.
   
 7. c

  chelenje JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  maombi zaidi yahitajika!
   
 8. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mambi ya nini sasa aongezewe miaka mingine??
   
 9. g

  geophysics JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  That is your perspective...but if you have management education/knowledge....probably will be from Kampala International University...where you can go with division four or three form four exam.... Would recommend to go back to the drawing board for management refresher course. However, you justified the argument professionally though.
   
 10. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Matatizo ya umeme na maji JMK kayakuta yako serious na ukweli usiopingika ni JMK ambae anayafanyia utatuzi wa uhakika. Tumeona na tunaendelea kuona juhudi anazofanya kuhusu umeme. Hao wote wa kabla yake walifanya nini zaidi ya kumwachia kiza totoroo.
   
 11. S

  Songasonga Senior Member

  #11
  Jun 25, 2011
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado sijaelewa
   
 12. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  well said mkuu!!
   
 13. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #13
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Bure kabisa, labda huko kwao!
   
 14. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #14
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  if possibo.........
   
 15. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #15
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Up side down!!
   
 16. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #16
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mkapa alimuachia Shingapi hazina na leo zimo ngapi kwa kazifanyia kazi gani? Jamaa anafanya kila kitu in opposite way kama alivyosema NOT ENOUGH! Na kwa hasira ya Mungu anatunyima mvua na kuruhusu mapigo kwa Taifa kama surua ili tukome kwa ujinga wetu wa kuruhusu viongozi wachovu kuongoza nchi.

  Sasa hivi wamefungulia Maghala ya chakula ya Taifa bila kusoma alama za nyakati kuwa huko mbele kuna njaa inakuja, siku maghala yatakapo kuwa meupe ndo joto ya jiwe tutaitambua! Amewaudhi viongozi wa Dini kwa kuwaambia wanafanya biashara ya madawa ya kulevya huku akiwachekea mafisadi! Ghadhabu ya Mungu inakuja!
   
 17. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #17
  Jun 25, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  nimeogopa bun tuu! Ila wewe huna kitu kichwani au udini umekuzidi pumbavu mkubwa wewe!
   
 18. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #18
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Sasa hivi tuna akiba ya kununulia vyote tunavyohitaji kutoka nje kwa miezi sita ijayo (ni akiba kubwa kuliko nchi yoyote ya Afrika Mashariki) aliwachiwa ya kutosha mwezi mmoja kama sikosei. Chakula tunacho maghalani hilo pekee ni jambo jema kabisa alilofanya JMK, unakumbuka njaa ya 2005 aliyowachiwa? Au umesha sahau? Akasema atafanya kila njia "hafi mtu kwa njaa". Leo hata kwa hayo bdo ni mbaya tu?
   
 19. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #19
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Aliyakuta lakini sio kama alivyoyakuta yeye, sasa yamezidi maradufu yake na Ufisadi umezidi maradufu yake bei ya chumvi na sukari alivyoikuta nitofauti alivyoikuta sasa imepanda kwa 100% au zaidi ya hapo. Kwa ufupi Kikwete ni Janga la taifa kwa watanzania na tukiendelea nae mpaka 2015 tutakuja kununua 1KG ya sukari kwa Tsh 5000. Mtawala mwenye kuleta mzaha kwenye maisha ya watanzania, kazi kuchekacheka kama ******** na kusafiri kama Mtalii au Christopher Columbus kama vile anatafuta nchi nyingine aitawale. Kikwete hafai kabisa kuwa hata mjumbe wa nyumba 10. Ni janga la kitaifa kuwa na mtawala kama Kikwete
   
 20. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #20
  Jun 25, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  MUNGU tusimfanyishe OVERTIME kusaidia kutatua yale ambayo katupatia uwezo wa kutatua wenyewe!!!! Mlimchagua wenyewe; issue ni kutorudia kosa next time ukichagua kiongozi wako
   
Loading...