JK impeachment - HOW/WHERE DO I START?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK impeachment - HOW/WHERE DO I START??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by M-mbabe, Jan 11, 2011.

 1. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,986
  Likes Received: 3,735
  Trophy Points: 280
  Do I need to give a reason? I dont think so... it's all there in black and white!

  Sasa nisaidieni kwa mnaojua....for an ordinary citizen like myself nianzie wapi?
  I mean.... nifanye nini ili kui-trigger president impeachment process?
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Inabidi usome Katiba imeandikwa vizuri tu kwenye Katiba. Bahati mbaya wenye uwezo wa kumimpeach Rais ni wabunge tu na kuna sababu za Kikatiba tu. So, la kwanza wasiliana na mbunge wako na umpe hoja ya kikatiba ya kwanini unafikiri Rais anatakiw akuwa Impeached.
   
 3. K

  Kizibao JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 80
  Hahahaha JF is the land of great thinker! kweli?!!!...kijana soma katiba ya TZ kwanza kabla ya kuleta huu utumbo wako hapa,anza kwa kuona majukumu ya raisi ni yepi? na jee bunge lina nguvu hizo?kwani nyinyi mnatayarisha hivyo yeye anaamuwa kulivunja bunge tu.....yeye ana uwezo wa kubakia raisi mapaka uchaguzi lakini nyinyi siyo wabunge tena.....kazi kweli kweli
   
 4. Capital

  Capital JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,036
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  unaongelea katiba gani? Poples' power can oust him, no question. issue hapa ni ku-organize peoples' power to make things move. Tunaweza. A tyranical government to peoples' power is like a candle to the wind!
   
 5. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,986
  Likes Received: 3,735
  Trophy Points: 280
  Asante. Huu ni ujinga wangu.....inawezekana tafsiri yake nyingine ni "utumbo" kama ulivyosema.

  Mimi naamini JK anaweza kuwa impeached. Sijatosheka na jibu la "kasome katiba" pekee..naliona ni jibu jepesi sana.

  Tuendelee kuelimishana ili tuhimitishe mchakato.
   
 6. K

  Kizibao JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 80
  Wewe naona bado uko kwenye ndoto za mchana...people power!!????inaonyesha hata unachokiandika hukijui na hiyo people power ni nini huijui just unasikia watu tu......
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Start by going to schooll!
   
 8. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,986
  Likes Received: 3,735
  Trophy Points: 280
  Najua nimegusa eneo nyeti.....kwa hiyo I will accept all the garbage thrown at me.

  The bottom line is JK is impeachable, no matter what other people want us to believe.
  Let's see how we can make it happen faster.
   
 9. K

  Kizibao JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 80
  Samahani kijana... lakini kwa katiba ya Tz ilivyo Raisi kuwa impeached ni kitu kigumu sana almost imposible, kweli bunge lina uwezo huo...lakini je Raisi atakuwa amelala? au pengine ni mzembe na zuzu kupindukia kwani kitendo cha impeachement siyo kitatokea kwa sec moja tu kuna process zitabidi zifutwe zinaweza kuchukua masaa kibao,hapo mnakuwa mmeshampa muda.na yeye kwani yeye akitoa kauli dakika moja tu basi bunge limekuwa disolved lote na yeye anabakia kuwa raisi mpaka aitishe uchaguzi mwengine sasa sijui kwa ninihutaki kufahamu.Je kwa bunge latu la sasa (tuchukulie Rais amelala) unaweza kupata majority ya kura kwa CCM wakomore 2/3 ya wabunge wote...Kuna mjumbe mmoja alikupa ushauri mzuri kwanza nenda shule kijana..then....
   
 10. K

  Kizibao JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 80
  Hizo siyo garbage bali ni ukweli lakini yako wewe naona kma ani garbage... inaonyesha unajua kila kitu kwa nini umekuja kuuliza hapa?pls dont waste time.kasome katiba utapata kujua kuliko sisi hapa.Hivi jiulize,hivi chadema ni wapumbavu kama kweli wameshaiona hiyo loophole ya kuwa Rais ni impeachable(kamamunavyosema) kweli wasiitumie? na wasianzishe mchekato huu siku zote hizo... I dont think so...May be Chadema hawajui hicho ukiwapelekea hiyo idea na uki draft ule muongozo wote basi unaweza kuwa mtumuhimu sana Tz....There is a thin line of being too smart and too dumb..
   
 11. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,986
  Likes Received: 3,735
  Trophy Points: 280
  Tofauti kati yangu na watu aina yako ni kuwa mnakubali kushindwa kabla hata hamjaanza......siye wengine ni kinyume chake!

  Shule yangu ni ndogo...so nitakwenda shule lakini kamwe sitakubali kuwa diverted kutoka kwenye azma yangu ya kuhakikisha JK (rais ambaye naamini sasa hivi yuko usingizini) anakuwa impeached.

  Suala la majority ya chama chako (CCM) ni hoja nyepesi....mnao wapinzani wengi tu wa JK ndani ya chama chenu - Samuel Sitta is just a tip of iceberg.
  Umesikia mambo ya huko Hai kuhusu diwani wa CCM kukipigia kura chama cha upinzani?
  Ndiyo maana sitaki kushindwa kabla vita haijaanza!
   
 12. Capital

  Capital JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,036
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  chonde nisije kukutukana bure! Huna fikra, hujui what people's can do and cannot do.
   
 13. K

  Kizibao JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 80
  Hahahahaa jipe moyo kijana....CCM ni chama changu hahahahaa....hiyo ndiyo imetokea Hai je sehemu nyengine gani uliyosikia?huyo Sitta kama anakupa moyo basi angalia tu kama anekuwa na nguvu na lobby kubwa kwenye CCM hivi sasa angekuwa speaker wa bunge...ok ni vizuri Taifa kuwa na vijana kama nyinyi kama weweni mbunge basi peleka motion ya kubadilishwa vipengele vya katiba ya kupunguiza madaraka ya rais.. kumbuka hiyo inapita once raisi aki sign au onana na mbunge wako muuelezee hivyo. lakini nimegundua kitu kimoja.fisi akiufuata mkono huku akiwa na tamaa iko siku utaangaka,yuko right kwa muono wake yeye lakini out side world ni insane
   
 14. FarLeftist

  FarLeftist JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Bunge pekee ndilo lenye uwezo huo, ambapo kwa katiba ya sasa insema Raisi anao uwezo wa kudisolve (kuvunja) bunge muda wowote,hivyo kumuimpich kwa kutumia katiba kwa sasa haiwezekani.
   
 15. K

  Kizibao JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 80
  Usiwe na wasi wasi unaweza kutukana. wewe mwenye idea hebu nipashe kidogo hiyo peole power na jamii yetu ya kitanzania?mimi naona hiyo peole power ni kama ghost tu...nasubiri maelezo yako
   
 16. JohnShaaban

  JohnShaaban JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 23, 2007
  Messages: 465
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nadhani umeuliza tayari ukiwa na JIBU kwamba labda uanzishe vurugu zitakazopelekea Rais atoke ashindwe kuongoza nchi!

  Impeachment ni IMPOSSIBLE maana inahitaji kufuata kanuni na taratibu zilivyoainishwa na katiba. Kutokana na Rais kuwa na 'chain' kubwa ya watu wanaomtegemea kwa mkate wao wa kila siku (e.g. zaidi ya 70% ya wabunge, 100% Gov top official, etc), its IMPOSSIBLE kufikiria suala la impeachment unless kichwani kwako unawaza vurugu ambazo nazo haziwezi kufika popote.
   
 17. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,986
  Likes Received: 3,735
  Trophy Points: 280
  Good. Now we seem to be making some progress here.
  Naona kidogokidogo unaanza kuvutiwa na falsafa ya approach yangu.

  FYI, ninajua katiba inavyosema kuhusu impeachment lakini who has has ever dared it? Labda mwenzangu unajua!

  Kwa ordinary citizen kama mimi, kusoma katiba ni jambo moja lakini kutekeleza kile katiba inachosema ni jambo jingine (haswa pale unapotegemea watekelezaji - aka wabunge - ambao they need that big poke on their a@#$ses to do something).
  This is where my argument hinges on....mimi nataka tuache porojo za darasani bali tufanye kweli!

  Tuendelee....hakuna kulala.
   
 18. K

  Kizibao JF-Expert Member

  #18
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 80
  Hahahahaha I was being Sarcastic,and this show how naive you are... na inaonyesha mwalim wako alikuwa nankazi kubwa sana darasani nakuambia tena huo ndiyo ukweli tanzania ku impeach raisi haiwezekani...kwa sasa.. kwa kuacha porojo ni wewe kamakweli mfanyaji organise lakini ni utakutana na dead end...wacha upumbavu huo
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kma unajuwa sasa kwa nini unauliza uanzie wapi? si nimekwambia, anza kwa kwenda shule na kama hutaki na unajuwa kuwa JK ni "impeachable" unangoja nini?
   
 20. l

  limited JF-Expert Member

  #20
  Jan 11, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 300
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35


  Duh kweli kuna umuhimu wa somo la katiba kwa wanachi wetu na media inatakiwa isaidie kwa hili
   
Loading...