JK impeachment - HOW/WHERE DO I START??

JK impeachment - HOW/WHERE DO I START??

Hahahahaha I was being Sarcastic,and this show how naive you are... na inaonyesha mwalim wako alikuwa nankazi kubwa sana darasani nakuambia tena huo ndiyo ukweli tanzania ku impeach raisi haiwezekani...kwa sasa.. kwa kuacha porojo ni wewe kamakweli mfanyaji organise lakini ni utakutana na dead end...wacha upumbavu huo

Inawezekana kweli mimi ni kilaza...lakini ni vizuri pia nawe ujipime kwani sidhani name-calling ndio kuonyesha eti mtu ana akili sana - inaweza kuwa ni kinyume chake nadhani!

Hiyo unayoiita dead end wewe umeishaiona au ndio kuogopa kivuli cha jua la machweo?

Kama umeisoma vizuri hiyo katiba ambayo unasema mimi siijui, basi tambua kuwa inahitajika 20% tu ya wabunge wote kuwasilisha motion bungeni!

Mimi si mwanasheria lakini pia ni muhimu kutambua kuwa si bunge pekee linaloweza kutoa haki ya jinsi hii.
Kumbuka Mtikila aliibeba singlehandedly ile hoja ya independent candidature - nadhani ni baada ya kuona longolongo za bunge na katiba feki, so nitachukua desa kutoka kwake.

Hoja ya kwamba rais tuliye naye sasa ana(me)vunja katiba au la si mjadala tena.....liko wazi. Hapa mimi ninachotafuta ni namna ya ku-fast-tract methodology itakayotumika kum-impeach, basi.
 
Kijana nipe wapi Raisi wa sasa wa tanzania amevunja katiba ya nchi... hebu nieleweshe kijana..wewe hujafahamu kumbe tatizo si kupeleka motion, kwani hata hamjaanza kupiga kura yeye amesha vunja bunge na hao wote pamoja na speaker wao wanaojadili hiyo motion wanakuwa wameshapoteza uwezo wao.lakini raisi anabakiakuwa raisi mpaka uchaguzi! je hapo kwa definition yako ya impeachemnet raisi anakuwa tayari impeached?
 
Observer anayefuatilia hizi exchanges kati yangu na wewe anaweza akatambua kirahisi hapa yupi ni kijana na na yupi mtu mzima.....lakini anyways... endelea kuniita kijana kama hilo linakupa faraja unayoitafuta, lakini JK is impeachable! Let's talk of how rather than whether.

Si vema ku-prempt mkakati by dwelling so much on negativities. I personally believe in daring.
My friend, rais akivunja bunge hautakuwa mwisho wa mchezo....watch me!
 
Observer anayefuatilia hizi exchanges kati yangu na wewe anaweza akatambua kirahisi hapa yupi ni kijana na na yupi mtu mzima.....lakini anyways... endelea kuniita kijana kama hilo linakupa faraja unayoitafuta, lakini JK is impeachable! Let's talk of how rather than whether. wha

Si vema ku-prempt mkakati by dwelling so much on negativities. I personally believe in daring.
My friend, rais akivunja bunge hautakuwa mwisho wa mchezo....watch me!

I will spare my time kufanya vitu vya maana kwani najua fika for that kind of head hutofika popote na uwezo huo huna so,prove me wrong wacha kubwabwaja anza na hiyo process yako kama ulivyosema mwanza ulikuwa unataka kujua methodology tu... what a joke! and give me a break because I will puke
 
Hahahaha JF is the land of great thinker! kweli?!!!...kijana soma katiba ya TZ kwanza kabla ya kuleta huu utumbo wako hapa,anza kwa kuona majukumu ya raisi ni yepi? na jee bunge lina nguvu hizo?kwani nyinyi mnatayarisha hivyo yeye anaamuwa kulivunja bunge tu.....yeye ana uwezo wa kubakia raisi mapaka uchaguzi lakini nyinyi siyo wabunge tena.....kazi kweli kweli

kizibao,usijiulize join date yangu,najua ndo silaa yako, katiba ya nchi gani inasema rais anaweza kulifuta bunge na akaendelea na urais kama atakavyo? sijui katiba ya nchi yako ikoje, lakini kwetu Tanzania katiba mbovu tuliyo nayo kwa sasa inasema kuwa endapo rais atalivunja bunge kutaitiswa uchaguzi mpya na endapo wabunge 2/3 wakichaguliwa tena basi rais anajihudhuru wadhifa wake. upo hapo? kwa iyo kukwepa aibu kwa kujifanya kujua katiba yako, nakuomba ufute japo nusu ya mchango wako kuanzia mwisho maana wasomi watakushangaa.
 
I will spare my time kufanya vitu vya maana kwani najua fika for that kind of head hutofika popote na uwezo huo huna so,prove me wrong wacha kubwabwaja anza na hiyo process yako kama ulivyosema mwanza ulikuwa unataka kujua methodology tu... what a joke! and give me a break because I will puke

Thank you Mr "Intelligent"...but watch me!
 
I like your arguments M-mbabe. For sure the president can be impeached. I concur with you, "let's now deal with how to fast-track the methodology" to impeach this lame duck president.
 
Kijana nipe wapi Raisi wa sasa wa tanzania amevunja katiba ya nchi... hebu nieleweshe kijana..wewe hujafahamu kumbe tatizo si kupeleka motion, kwani hata hamjaanza kupiga kura yeye amesha vunja bunge na hao wote pamoja na speaker wao wanaojadili hiyo motion wanakuwa wameshapoteza uwezo wao.lakini raisi anabakiakuwa raisi mpaka uchaguzi! je hapo kwa definition yako ya impeachemnet raisi anakuwa tayari impeached?

Nadhani hii ndio njia nzuri na pekee ya kumuondoa madarakani kabla ya muda wake. Akivunja tu bunge na kuitisha uchaguzi mwingine mnamtosa hapo hapo kwenye uchaguzi.

I like this, kumbe anaweza kwenda na maji kama kawaida.
 
Do I need to give a reason? I dont think so... it's all there in black and white!

Sasa nisaidieni kwa mnaojua....for an ordinary citizen like myself nianzie wapi?
I mean.... nifanye nini ili kui-trigger president impeachment process?
ili umweke nani? padre slaa? Nyinyi endeleeni tu, hii nchi itakuwa haitawaliki. nyie mnafikiri mkimweka huyo wenu ndo kutakuwa na amani? nani kakuongopea? mnayaandaa yale ya somalia taratibu. watu tumechoka na hivi vitimbi vyenu, hasira zimekaba mpaka kuongea inakuwa tabu. tunasubiri tu. wengine tumekaa mkao wenyewe kusubiria hizo harakati zenu. then you will realize what I MEAN.
 
kizibao,usijiulize join date yangu,najua ndo silaa yako, katiba ya nchi gani inasema rais anaweza kulifuta bunge na akaendelea na urais kama atakavyo? sijui katiba ya nchi yako ikoje, lakini kwetu Tanzania katiba mbovu tuliyo nayo kwa sasa inasema kuwa endapo rais atalivunja bunge kutaitiswa uchaguzi mpya na endapo wabunge 2/3 wakichaguliwa tena basi rais anajihudhuru wadhifa wake. upo hapo? kwa iyo kukwepa aibu kwa kujifanya kujua katiba yako, nakuomba ufute japo nusu ya mchango wako kuanzia mwisho maana wasomi watakushangaa.

Hujayasoma vizuri maelezo yangu nimeandika huku mwanzo ataendelea kuwa raisi mpaka atakapoitisha uchaguzi sijasema hata baada ya uchaguzi angalia tena maandishi yangu kwa makini sana hiyo michango ya nyuma nimeandika nini
 
Nadhani hii ndio njia nzuri na pekee ya kumuondoa madarakani kabla ya muda wake. Akivunja tu bunge na kuitisha uchaguzi mwingine mnamtosa hapo hapo kwenye uchaguzi.

I like this, kumbe anaweza kwenda na maji kama kawaida.

Thanks Chesty.

Unajua baadhi yetu akili zetu zimegoma kwenda nje ya kisanduku cha mazoea (not thinking outside the box).
We have to be aggressive otherwise any thug anaweza kuwa rais akafanya atakavyo at our expense and get well away with it. This got to stop, and fast!

Mimi niko convinced kuwa impeachment ya JK inawezekana kwani katiba amevunja kwenye maeneo mengi - directly or indirectly!

Tunahitaji at least 20% ya wabunge (kwa mujibu wa katiba) kupeleka motion mle bungeni, hapo moto usiozimika utakuwa umewashwa!

Inabidi tukomae....embu angalia hapa chini hawa professionals wa Mwanza...for me this portrays a trend-setter towards an impeachment process.

CHAMA cha Wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti nchini (RAAWU), mkoani Mwanza kimewataka Rais Jakaya Kikwete na Waziri wa Mambo ya Ndani Shamsi Vuai Nahodha waachie ngazi mara moja kutokana na kashfa ya Dowans na vurugu zilizosababisha maafa na vifo vya raia mkoani Arusha.
 
You need reality check kwani unaishi kwenye fantasy world yako yakujipa uwezo ambao huna,hivi wabunge wa chadema wanafika 20%.
 
Thank u again Mr ''Intelligent''.

Sijui kama kuna mahali nimetaja Chadema....but again u are the most intelligent guy on the planet so an idiot like me is not your match!

My habit is always to go into a war that am 100% certain to win......this includes this intention to impeach JK.

...of course it doesn't exclude if/when I decide to hit back at u!
My friend, my insults do not normally come as childish as yours do. It's not a threat but one b.i.g promise!
 
Hujayasoma vizuri maelezo yangu nimeandika huku mwanzo ataendelea kuwa raisi mpaka atakapoitisha uchaguzi sijasema hata baada ya uchaguzi angalia tena maandishi yangu kwa makini sana hiyo michango ya nyuma nimeandika nini

Sawa katiba inasema Raisi anaweza kulivunja bunge lakini kweli Kikwete huyu atathubutu kulivunja bunge ? Alivunje eti kwa sababu hoja ya kumjadili imetolewa bungeni ? Ili iweje ? Raisi anayethubutu kufanya hivyo ni yule tu aliye na uhakika kuwa hata akiitisha uchaguzi atapita na bahati nzuri ni kuwa Kikwete hathubutu - anajua hawezi kupita tena hata kwa mbinde. Sasa swali ni je kama hakuitisha uchaguzi mara moja baada ya kuvunja bunge, ataweza kutawala kimabavu bila bunge kwa muda gani ?

Mkuu M-babe zinatakiwa tu jitihada zifanyike za kufikisha hiyo hoja ya kuimpeach Kikwete bungeni na hapo kazi kwisha. Huu uchaguzi uliopita umetufundisha mengi na nakuhakikishia hiyo theluthi mbili ya wabunge si ndoto tena na Kikwete analijua hilo fika. Lakini akiamua kulivunja bunge ndio ajue anamwaga petroli kwenye moto ambao tayari unawaka, hapo aanze mapema kufungasha virago, yeye na sycophants wake wote. Kama leo tu hapati usingizi, hoja ya impeachment ndio itammaliza kabisa.
 
Mkuu Mag3, asante.....niko kwenye kuandaa hiyo document kwa kushauriana na wanaoyajua haya mambo vizuri zaidi.

Nilikuwa nimetegemea wanasheria humu JF wanishauri vizuri ku-fast-track process lakini nimeona negativities na kusitasita hata kabla process yenyewe haijaanza....which leaves me with no other choice but to fight outside this forum.

Inawezekana pia jina langu linatoa picha mbaya kwamba nataka kuichukulia hoja hii kibabe zaidi. Jamani I have few brains as well siyo msuli pekee!!

Hii kitu ikisimama, haianguki!!
 
Do I need to give a reason? I dont think so... it's all there in black and white!

Sasa nisaidieni kwa mnaojua....for an ordinary citizen like myself nianzie wapi?
I mean.... nifanye nini ili kui-trigger president impeachment process?
Mbona rahisi!
Tumia miti shamba
Wenzako wanamuangushaga hata jukwaani mbele za watu!
 
ili umweke nani? padre slaa? Nyinyi endeleeni tu, hii nchi itakuwa haitawaliki. nyie mnafikiri mkimweka huyo wenu ndo kutakuwa na amani? nani kakuongopea? mnayaandaa yale ya somalia taratibu. watu tumechoka na hivi vitimbi vyenu, hasira zimekaba mpaka kuongea inakuwa tabu. tunasubiri tu. wengine tumekaa mkao wenyewe kusubiria hizo harakati zenu. then you will realize what I MEAN.

toa mikwara yako ya kitoto wewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom